Nimekupmdada happiness001, if you might be interested.
Weka bei ya kimoja kimoja, kitanda pekee ni sh. ngapi?
TUPIA NAMBA YA SIMUSalaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.
Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:
1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.
PICHA halisi...
View attachment 453744
View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.
View attachment 453764
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.
- Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
- BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.
Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.
kuna story moja nimeisoma humu yamtu mmoja maarufu mpigaji wa deal akitumia mbinu nyingi sana,sasa kwa mbali naona 470,000 itamtokea mara 10 atakaye vinunu hivo vitu, nimewaza tu. siku hizi kuna sayansi ya biasharaSalaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.