INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

Mimi nipo zakiem kwa sasa nicheki tufanye biashara fasta kama upo makini
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wadau wananiPM kuulizia bei ya kitu kimoja kimoja. Okay bei ni hizi:

1. Kitanda = Tsh 250,000
2. Godoro = Tsh 100,000
2. Sofa = Tsh 120,000
3. Dstv + Feni + Pasi = Tsh 100,000
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mbona pm zenyewe hujibu??? Basi si bora ungeeka namba za simu tu.
 
Wadau wananiPM kuulizia bei ya kitu kimoja kimoja. Okay bei ni hizi:

1. Kitanda = Tsh 250,000
2. Godoro = Tsh 100,000
2. Sofa = Tsh 120,000
3. Dstv + Feni + Pasi = Tsh 100,000
Nicheki fasta 0655646568
 
kuna story moja nimeisoma humu yamtu mmoja maarufu mpigaji wa deal akitumia mbinu nyingi sana,sasa kwa mbali naona 470,000 itamtokea mara 10 atakaye vinunu hivo vitu, nimewaza tu. siku hizi kuna sayansi ya biashara

Hahahaa Mkuu, ondoa shaka kabisa.

BTW... you are entitled to your opinion.
 
Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.

Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:

1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.

PICHA halisi...

View attachment 453744

View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.

View attachment 453764

  • Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
  • BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.

Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.
Weka mawasiliano mkuu
 
Hilo godoro size gani mkuu??
 
Aiseee hiyo bei haihitaji punguzo ila bongo hapo lazima akushushe hapo ndo utaelewa kwa nini kagera kuna kijiji kinaitwa katerero
 
Back
Top Bottom