INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

weka no ya simu ili iwe rshisi kwa wale walioserious kukutafuta,maana humu kuna wanunuzi wa kweli na wababaishaji
 
Yeyote atakayetaka kununua awe makini, usitume pesa kwa njia yeyote ile, nenda kacheki mzigo onana na muuzaji, akuuzie kwa maandishi, hakikisha unakuwa na ulinzi pembeni usiwe peke yako, Ni hayo tu, mtu akija analalamika ameibiwa atakua amenitafutia ban ya Bila kutarajia, najua taishia kumtukana tu. Ni hayo.
 
Poa mkuu
 
Aiseee hiyo bei haihitaji punguzo ila bongo hapo lazima akushushe hapo ndo utaelewa kwa nini kagera kuna kijiji kinaitwa katerero

hahahaa Mkuu wabongo kwa kubageini hawajambo.

Wadau wanaPM kuomba discount. Duh
 
Yeyote atakayetaka kununua awe makini, usitume pesa kwa njia yeyote ile, nenda kacheki mzigo onana na muuzaji, akuuzie kwa maandishi, hakikisha unakuwa na ulinzi pembeni usiwe peke yako, Ni hayo tu, mtu akija analalamika ameibiwa atakua amenitafutia ban ya Bila kutarajia, najua taishia kumtukana tu. Ni hayo.

Mkuu, shukrani kwa angalizo jema. Na kwa mtu makini hawezi kufanya mauziano kama hayo bila maandishi rasmi.

Nowadays mauziano ya kienyeji is not recommended.
 
weka no ya simu ili iwe rshisi kwa wale walioserious kukutafuta,maana humu kuna wanunuzi wa kweli na wababaishaji

hahahaa hiyo kweli Mkuu, wababaishaji huwa hawakosi.

Walio serious weshakuja PM nimewapa namba tunawasiliana. Wengi wameahidi kuja kesho kuviona.

Na kuna baadhi wapo mikoani wameonesha uhitaji wa dhati kabisa, ila tu tatizo wapo mbali.
 
Ukusha uza usisahau kutoa risiti na kwenda tra kupigiwa mahesabu ya Kofi stahiki ya mauzo ulofanya...sawa mangiiii!!!?
 
Back
Top Bottom