INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.

Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:

1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.

PICHA halisi...

View attachment 453744

View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.

View attachment 453764

  • Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
  • BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.

Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.

Zakhem upande gani niwatume wana waje waviangalie
 
mk

mkuu nitumie namba yako tuongee
 
Mkuu hivyo vitu unarisiti kuwa we ni mmiliki halali? Nisije nikanunua nkakamatwa nimeiba. Hasa king'amuzi..
 
No free lunch and there is a hidden agenda .Be careful guys
 
Back
Top Bottom