kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,216
- 1,062
- Thread starter
- #121
Yaani katika hali ya kawida hata kama vya wizi huwezi uza kwa bei hiyo labda atuambie alikuwa house maid kwa wazungu kule masaki wameondoka wamemwachia na hana sehemu ya kuviweka maana yake hana uchungu wala hasara navyo. Ila ninashaka na mmiliki labda atakaye nunua aombe risiti ya awali.
Mawazo ya kimasikini ni laana mbaya sana!