INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

INAUZWA Kitanda, godoro, Sofa, Pasi, Feni, king'amuzi DStv

No free lunch and there is a hidden agenda .Be careful guys

''No free lunch''... unamaanisha kuwa bei ni 'extremely cheap' sawa na 'bure' eeeh? FYI... Bidders wananiPM to ask for DISCOUNT !!

''There is a hidden agenda" ... agenda ipi unayomaanisha mkuu... kwamba ni vitu vya wizi? or ni utapeli? FYI... you are entitled to your opinion and/or speculation.

BTW, umetoa angalizo zuri.
 
Ccm mbele kwa mbele

hahahaa mkuu hako kawimbo kanatia hasira sana.

On a serious note, nina maswali mawili ya msingi:

1. Iyo avatar ndiye wewe?
2. Je, ushaolewa au bado?

Hivi vitu nikiuza, hela yote nakutumia ukale chips yai. LOL
 
Mkuu nitumie pm namba yako. Ntaongeza na hela ya kusafirisha uniletee magomeni. Naviitaji vyote
 
Ile thread yako unatafuta dawa ya kunguni hukufanikiwa?

Basi Mkuu usiuze tena ile dawa ya kunguni na mende wadogo ishapatikana njoo dukani tukuuzie utatesa watu... Yaani unataka uuze kisha umhonge MissM4C😀
 
Mkuu nitumie pm namba yako. Ntaongeza na hela ya kusafirisha uniletee magomeni. Naviitaji vyote

Mkuu, wewe mwenyewe unakuja kuvicheki halafu nikusafirishie kukuletea Magomeni?!!! hahahaa hii nayo kali.
 
Jamani, hiyo bei ni fixed, I.e Tsh 470,000 kwa vitu vyote vya pamoja.

Mtu anakuja alafu anaanza kukomaa kuomba discount. Duh

If unategemea kubageini for discount, please don't bother to come.

Tafadhari sana wale wanaotegemea kupunguziwa bei, msinisumbue PM wala kuja kucheki vitu.

A serious buyer anakaribishwa sana.
 
mkuu nipo maeneo ya zakhem pia, ntumie namba za simu basi

Karibu Mkuu. nakutumia. checki PM. Ila please, hiyo bei ya Tsh 470,000 ni fixed. Haipunguwi.
 
Nasubiri bei ushuke hadi 350,000 nivichukue. Ukishusha bei tafadhali nishtue
 
Salaamu wanaJF, na kheri ya mwaka mpya.

Nauza vitu vyangu vya ndani, kwa bei nafuu kabisa:

1. Kitanda (5x6) na Godoro
2. Sofa moja (ya siti mbili)
3. King'amuzi Dstv + dish + waya
4. Pasi
5. Feni.

PICHA halisi...

View attachment 453744

View attachment 453751 HITILAFU: Sofa imechanika kidoogo (kama sentimita mbili hivi) kwa mbele, hapo nilipozungushia kwa rangi.

View attachment 453764

  • Vitu vyote bado vipo katika hali nzuri.
  • BEI ni Tsh 470,000 (laki nne na elfu sabini) kwa vitu vyote kwa pamoja.
Nipo Dar, maeneo ya Mbagala - Zakiem.

Kwa yeyote anayehitaji, karibu sana PM kwa mazungumzo na mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukrani.
Amani kwenu. Barikiwa sana wote.
 
Back
Top Bottom