Yaani katika hali ya kawida hata kama vya wizi huwezi uza kwa bei hiyo labda atuambie alikuwa house maid kwa wazungu kule masaki wameondoka wamemwachia na hana sehemu ya kuviweka maana yake hana uchungu wala hasara navyo. Ila ninashaka na mmiliki labda atakaye nunua aombe risiti ya awali.
Apo ktk risit itakua mtihan sijuh Kama atakua nazo
unaweza ukaambiwa vilipotea na landcruser v8 moja,fuso mbili,semi 3 sijui utavinyea wapi?saivi hata ukukuta 10,000 imedondoshwa usirogwe kuokota lasivyo utakiona cha mtema kunikuna story moja nimeisoma humu yamtu mmoja maarufu mpigaji wa deal akitumia mbinu nyingi sana,sasa kwa mbali naona 470,000 itamtokea mara 10 atakaye vinunu hivo vitu, nimewaza tu. siku hizi kuna sayansi ya biashara
unaweza ukaambiwa vilipotea na landcruser v8 moja,fuso mbili,semi 3 sijui utavinyea wapi?saivi hata ukukuta 10,000 imedondoshwa usirogwe kuokota lasivyo utakiona cha mtema kuni