Kitanda kinamalizwa na wadudu. Mwenye kujua dawa tafadhali

Aisee hicho kitanda chako kinaonekana ni dhaifu hata kugegedana kutakuwa dhaifu.
Nunua kitanda cha mbao ngumu ufurahie game kwa raha zako.!
 
Nazn mTi waliokutengenez ktand hakuw mzuri au hauku komaa

Tumia oil chafu kupakaza
 
Nazn mTi waliokutengenez ktand hakuw mzuri au hauku komaa

Tumia oil chafu kupakaza
Oil chafu Asee kitakuwa na mvuto hicho kitanda?
Au akipige rangi baada ya hapo?
 
Hizo mbao za kitanda kama zingekuwa treated pia zisingeliwa na hao wadudu?
 
Jaribu hizi dawa za kupuliza za kuua wadudu kama rungu na nyingine, pulizia huko kwenye tundu walipo.
 
Nunua diesel lita 1 paka kwa kitambaa kitanda chote..mwisho wa story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…