Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

Angalizo
Kuna baadhi ya Wanawake wanaficha siri za wanaume wao kwa kushindwa kuzaa nao kutokana na sababu mbalimbali za kiafya za waume zao, ikiwa kila mtoto atatakiwa akapimwe DNA kuna ndoa nyingi zitaishi bila kupata watoto.
Maisha na amani iliyojengwa kwa misingi ya uongo ni ubatili na kujivisha upepo. Unaogopa kuvunjika kwa ndoa ya uongo na utapeli[emoji23][emoji23][emoji23], maajabu. Kuuishi uongo ni ndoto, yanaishaga.
 
wanataka tuchukue sheria mkononi, ukiona toto halifanani na wewe,unaliambia halisikii ,af mamake ohh huna watoto hapa,timua watoto na mama yao uanze upya,
 
Full point asante sana, tamaa yangu technologia ndio mchaw wa kila kitu naamin wahanga n wengi kipindi hiki na sera nyingi zinamlinda mwanamke, tunaomba vifaa malumu vya technologia viundwe na kuuzwa kwa bei nafuu ili kusaidia kuokoa aman na maisha ya wanaume
 
Kongole kwa kutetea unachokifanya kwenye ndoa/Mahusiano yako.

MPE POLE MUME/BWANA WAKO KWA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMKE ASIEJIELEWA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
tafadhali tuheshimiane mimi siye niliyesema hayo, tunaheshimiana kikamilifu na baba watoto wangu.

Mimi nimechangia kwa wale wanaowalaumu wanawake tu ndiyo nikasema na wanaume malaya nao wapo, sasa hizo kongole zimetoka wapi?
 
Cheiii
 
Unateteaje Usaliti kama wewe sio msaliti?

ACHA POROJO MKUU

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kuna rafiki yangu tangu mkewe ana mimba alijua c ya kwake kwa sababu alikuta msg wanawasiliana mpaka anajifungua wiki ya kwanza bado wanawasiliana mwisho wa siku mwanamke kamfungukia jamaa mtoto c wake na akamuomba msamaha jamaa katulia anaendelea kulea mtoto hii imekaaje wadau?
Mwambie jamaa aendelee kuwa Buzi Jinga
 
Kama ikitokea kila mwaume apime DNA basi mkoa wa Dar utaongoza kwa wanaume kusingiziwa watoto. Kwanza kwa nchi za wenye akili DNA inapimwa kwanza kwa ajili ya usalama,ni lazima mtoto ajulikane vinasaba vyake ili akiwa mkubwa akija kufanya uhalifu atajulikana tu ni mtu wa wapi. Sisi tuna NIDA ID lakini kuna taarifa za muhimu hamna kama vile kundi la damu na DNA...mtu anachukuliwa tu alama za vidole na kuambiwa lete taarifa za wazazi wako. Ukienda kwenye passport nako ni yaleyale,taarifa za DNA na kundi la damu hakuna.
 
Na kubali Sana kiongozi, ila ili kulinda mtoto, kipimo hiki kiwe lazima kama kipimo Cha ukimwi wakati wa ujauzito, mama na baba wakapime DNA ili mtoto atakapo kuja aidha ajikute ktk familia kamili au awe na mama yake.
Hii itasaidia wamama na wababa kuwa waaminifu ila pia kufanya maamuzi mapema ya kutengana kabla mtoto hajazaliwa...
Maana mtoto akijatengwa na mzazi wakati keshajua na kupenda ni maumivu Sana ya hisia... Bora tu akute hayupo ktk Maisha yake!
Nawasilisha🙏
Hii imekoleza utamu
 
Kuna rafiki yangu tangu mkewe ana mimba alijua c ya kwake kwa sababu alikuta msg wanawasiliana mpaka anajifungua wiki ya kwanza bado wanawasiliana mwisho wa siku mwanamke kamfungukia jamaa mtoto c wake na akamuomba msamaha jamaa katulia anaendelea kulea mtoto hii imekaaje wadau?
Imekata kikondoo sana!
 
Back
Top Bottom