Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

Karibu,
Bei pungufu ngapi,
Mambo dada. Samahan kwa kuchelewa kujibu. Nina 180,000 kamili. Naweza kukupigia cm? Naongea ukweli pesa nilonayo.

Ukweli nimeazima 200,000 kwa mtu, sasa 20,000 nataka nilipie usafiri kwa kitanda kukitoa huko Mbezi kuja hapa External
 
Usijali..!!

Simu unaruhusiwa kupiga..!!
 
Dah nimekielewa kweli.

Ila kwa sasa nipo visiwani,ningekichukua aisee.

Nimekitathmini naona kinafaa kulaliwa na mke wangu hasa hiko.
Pole mpendwa..!
Hichi nadhani kitaondoka Leo..!!
 
chukua180

Mambo dada. Samahan kwa kuchelewa kujibu. Nina 180,000 kamili. Naweza kukupigia cm? Naongea ukweli pesa nilonayo.

Ukweli nimeazima 200,000 kwa mtu, sasa 20,000 nataka nilipie usafiri kwa kitanda kukitoa huko Mbezi kuja hapa External
Jamani, mwenyewe kasema ambaye yupo na cash mkononi sahii, apige simu chap amuelekeze kilipo akakichukue Leo Leo..!!

Na mie shughuli yangu itakuwa imetamati hapa..
Ukiwa tayari kwa bei yangu uniambie kabla hela haijapata matumizi mengine baada ya leo
 
Jamani, mwenyewe kasema ambaye yupo na cash mkononi sahii, apige simu chap amuelekeze kilipo akakichukue Leo Leo..!!

Na mie shughuli yangu itakuwa imetamati hapa..
Nakuja nipo njiani. Bila shaka kitanda kinauzwa pamoja na bed sides kwa pamoja. Niko njiani, nilichelewa kutoka kibaruani
 
Back
Top Bottom