financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Aah babe jitahidi basi Tununue hiki kizuri bana kuliko kile! Tupambane 😀Hiyo bei mama sitaweza kuimudu! Kile cha elfu 70 tu kinanitoa jasho mpaka muda huu! Sembuse hiki cha laki 2 na nusu!! Hiki ngoja tuwaachie wenye hela zao😇