TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Kwa hiyo Shemeji umeamua kuja kutuanika huku Mtandaoni?View attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuuwa mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekwzaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko henye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha future sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.
Kwa kweli mapokezi haya yamenifikirisha sana, kuanzia Leo usiku nitaenda kulala Arusha, hawa wakwe nadhani wameona sasa wayatamatishe maisha yangu.
Wamenikosa
Nitalala pazuri ArushaAsiyeshukuru kwa kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.. Utalala pazuri ukirudi kwako
Tungekutandikia Nyeupe ungesema umewekewa SandaView attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuuwa mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekwzaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko henye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha future sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.
Kwa kweli mapokezi haya yamenifikirisha sana, kuanzia Leo usiku nitaenda kulala Arusha, hawa wakwe nadhani wameona sasa wayatamatishe maisha yangu.
Wamenikosa
Mbinu zenu za kuninyonya damu nimezishitukia mapema sana.Kwa hiyo Shemeji umeamua kuja kutuanima huku Mtandaoni?
Kama hujapenda si ungemwambia Mama tu pale pale yakaisha?
Sasa nyumba nimewajengea ya nini? Nimewakabidhi nyumba Iko fully furnished, sijui hiki kitanda wamekitoa wapi, na hayo mashuka na rangi ya chumba imebadilishwa. Acheni makusudi na uroho wa maliAsiyeshukuru kwa kidogo hata kikubwa hawezi kushukuru.. Utalala pazuri ukirudi kwako
Bado hamjasema, maji mtaita manjita msimu huuCondom pia ingeokoa haya....
Yesu aliuliwa na Mungu?Pambana na hali yako, hakuna mtu anaweza kukuuwa isipokuwa Mungu peke yake.
Njoo kwa kimaro madukani tule kitimoto baadae...Bado hamjasema, maji mtaita manjita msimu huu
😅Bado hamjasema, maji mtaita manjita msimu huu
Hii nyumba nimeijenga mwenyewe, nimewakabidhi ikiwa fully furnished. Ndio maana nimepigwa na butwaaWewe utakua na shida, hiyo rangi Kali Sana mbona, halafu hata kitandan kizuri, kikubwa kanunue kwako
Kwa hiyo chumba kilipakwa rangi ya zambarau kwa ajili yako tu? Hayo mashuka yamenunuliwa kwa ajili yako tu? Na hicho kitanda ni maalum kwa ajili yako tu kukilalia?View attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekezaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko yenye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha futi sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.