TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
- Thread starter
- #101
Kamuulize make wangu na nduguzeTupatie picha na hati ya makabidhiano ya nyumba tutakuamini vipi ??
Kamuulize make wangu na nduguzeTupatie picha na hati ya makabidhiano ya nyumba tutakuamini vipi ??
Umeoa kilmanjaro uchagani sehemu ipi ?Kamuulize make wangu na nduguze
Mkurya
NarumoUmeoa kilmanjaro uchagani sehemu ipi ?
Ooh Haina nouma bwasheeMkurya
aaah narumu au mo me naijua narumu huku machame, cc min -meNarumo
Aaaah aseeh, huko napapata bhn, hongera kwa kupata waifu matirrrrrriiooo,It was a typing error, Narumu
"Kimjaacho mtu ndio kimtokacho", "afikirivyo mtu moyoni mwake ndio alivyo" sorry to say this: Umejawa na fikra za ushirikina na hiyo inatokana na hofu iliyoko ndani yako"View attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekezaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko yenye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha futi sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.
Kwa kweli mapokezi haya yamenifikirisha sana, kuanzia Leo usiku nitaenda kulala Arusha, hawa wakwe nadhani wameona sasa wayatamatishe maisha yangu.
Wamenikosa
Ushirikina ndio kitu gani mura?"Kimjaacho mtu ndio kimtokacho", "afikirivyo mtu moyoni mwake ndio alivyo" sorry to say this: Umejawa na fikra za ushirikina na hiyo inatokana na hofu iliyoko ndani yako"
Ulichoandika kuhusu wakwe zako ndio ushirikina wenyewe.Ushirikina ndio kitu gani mura?