Wanajua wewe ni kachawi.Umeandaliwa kilinge hicho!View attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekezaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko yenye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha futi sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.
Kwa kweli mapokezi haya yamenifikirisha sana, kuanzia Leo usiku nitaenda kulala Arusha, hawa wakwe nadhani wameona sasa wayatamatishe maisha yangu.
Wamenikosa
Mueleze kwa nini?wewe ni MPUMBAVU SANA---
Mkuu unayosema ni ya kweli au una furahisha genge siku ipite?Sasa nyumba nimewajengea ya nini? Nimewakabidhi nyumba Iko fully furnished, sijui hiki kitanda wamekitoa wapi, na hayo mashuka na rangi ya chumba imebadilishwa. Acheni makusudi na uroho wa mali
1. Rangi ya dhambarau ni Rangi ya kifalme kwa nyakati za kale.View attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekezaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko yenye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha futi sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.
Kwa kweli mapokezi haya yamenifikirisha sana, kuanzia Leo usiku nitaenda kulala Arusha, hawa wakwe nadhani wameona sasa wayatamatishe maisha yangu.
Wamenikosa
Boy!, hivi unajua ya kwamba humu tuko watu wazima pia!?View attachment 3399917

Kwa Imani ya kikristo,Yesu hakuja kwa wenye afya bali kwa wagonjwa.Wazungu wanapokuja kutalii huku, huwa wanaona fahari kulala kwenye nyumba ya nyasi.
Kwa Imani ya kikristo,Yesu hakuja kwa wenye afya bali kwa wagonjwa.
Unanionea.Mimi sikuwepo na sijawahi kushiriki hizo ibada za magome,mashamba,miamba wala miti.Kabla ya kuletewa hii imani na wazungu (wakoloni), kwa imani zetu za kale za kuabudu miamba na magome ya miti, tulikuwa tukijua kuna mtu aliyeitwa Yesu?
Aiyaaaa! Mpaka ukawajengea nyumba ukweni? Yelewiii??? Manka!Hii nyumba nimeijenga mwenyewe, nimewakabidhi ikiwa fully furnished. Ndio maana nimepigwa na butwaa
Unalalaje ukweni bro chukua chumba gest ulale nyumbani unaenda kusalimia na kupiga msosi labda kama uchumi hauko sawa unapaswa ulale nyumbani kwenu tu hata kama pakoje,mwanaume unalale ukweni.View attachment 3399917
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza kuwatembelea wakwe zangu, na mara zote huwa naandaliwa chumba kizuri chenye kitanda kikubwa, rangi za kuta nyeupe na matandiko huwa ya rangi nzuri zilizotulia.
Sasa uchumi wangu umeongezeka sana, na Nina mafanikio sana kwenye uwekezaji wangu.
Wakwe wameniandalia chumba cha rangi ya zambarau, ambayo ni rangi ya msibani.
Mashuka na matandiko yenye rangi nyekundu, ambayo ni rangi inayoonyesha kumwagika kwa damu.
Pia kitanda nilichoandaliwa ni kidogo sana cha futi sita kwa mbili na nusu, utadhani kitanda cha kuoshea maiti.
Kwa kweli mapokezi haya yamenifikirisha sana, kuanzia Leo usiku nitaenda kulala Arusha, hawa wakwe nadhani wameona sasa wayatamatishe maisha yangu.
Wamenikosa
Unakimbilia maziwa chap😅😅😅Nimelia sanaView attachment 3400589
Muda huo inakata maini kinyama 😂😂Unakimbilia maziwa chap😅😅😅