Kitanzi cha gawio

Kitanzi cha gawio

Kifupi Mama Samia azingatie ushauri wa Makamu Mwenyekiti Kinana kufuta Non Profit government organisation or companies

Ila namuomba Mama Samia Awape miezi sita tu waje na strategy za ku turn their companies as Profit making organisations zisizotegemea Ruzuku

Mheshimiwa Kinana nakuheshimu ushauri wako uko sahihi mia kwa mia wa kuyafuta mashirika yote tegemea tozo na Ruzuku nawaombea kwako grace period ya miezi sita itakayogawanyika kama ifuatavyo

Ndani ya miezi mitatu kuanzia September mosi walete mpango mkakati wa namba atakavyo turn around hizo Company kwa hela ruzuku hizo hizo walizopewa kwenye bajeti iliyopitishwa ruksa kufanya mabadiliko ya matumizi as long as Serikali haita inject new money.Miezi mitatu ni ya kuangalia implementation.

Wakishindwa wazo lako Mheshimiwa Kinana lifanyiwe kazi haraka futa

Kama ni la Serikali linajifanya jeuri binafsisha tangaza mnada sokoni uzia private sector
Unapofuta shirika as if hakuna watu wenye uwezo, who loses...
 
Unapofuta shirika as if hakuna watu wa wenye uwezo, who loses...
Wao ndio wanatia hasara kuanzia CEO hadi messenger

Shirika linakabidhiwa private sector wanaojua kuzalisha kwa faida na kulipa kodi kuliko hao mabwege wategemea ruzuku ambao gharama zote zinategemea ruzuku ya Serikali au tozo

Sio kitu kikubwa .They can't unawapa Private sector local or international

Heri Upokee kodi kuliko kodi kiduchu unazopata uwapelekee wao

Kinana kaongea kitu kizito mno lakini wasomi wetu wana dharau sana kwa wanasiasa

Mwanasiasa ni chief administrative officer wa fani zote za public sector ndio maana heads wote wa public sector huchaguliwa na kuapishwa na Raisi hata kama Raisi ni darasa la Saba au form four failure
 
Wao ndio watapiteza hao wanaifanya kazi kuanzia CEO hadi messenger

Tatizo ni usimamizi, mtaji, teknoloji au nini..nadhani nature ya tatizo ndio inaelekeza njia sahihi ya kurekebisha tatizo, kubinafsisha shirika wakati tatizo ni usimamizi inakuwa bora hata ungeliacha shirika km lilivyo, huwezi kuuza shirika kwa tatizo la usimamizi mbaya..tafuta wasimamizi wazuri shirika litafanya vizuri.
 
Unaijua BICO? Unaijua Mlimani City? Unajua kuna vyuo vikuu hapa nchini vinajiendesha kwa ada za wanafunzi tu? Ada hiyo hiyo wanalipa mishahara na gharama nyingine za uendeshaji. Lakini vyuo kama UDSM wanalipiwa mishahara, wanapewa OC kwa ajili ya gharama za uendeshaji na pesa za ujenzi wanapelekewa. Huoni kuwa kulikuwa na sababu kuwafanya wawajibike zaidi hata kwa kuambiwa walipe gawio?
Mkuu Magufuli watamkosoa sana lakini kukosoa Magufuli kuna maeneo unahitaji maproffessor zaidi ya mia wa fani tofauti ku challenge

Kuna maeneo alikuwa mjinga hasa na kichwani hazimo

Akili yake ilikuwa kama network ya mtandao wa simu inaingia na kutoka na kutokuweko hewani.Lakini network ikidaka anashusha vitu vya uhakika ikiwemo hili la kudai Non Profit Government Companies watoe gawio kwa Serikali sababu aliwaona hawajui maana ya Non Profit government Company au organisation!!
 
Wao ndio watapiteza hao wanaifanya kazi kuanzia CEO hadi messenger

Shirika linakabidhiwa private sector wanaojua kuzalisha kwa faida na kulipa kodi kuliko hao mabwege wategemea ruzuku ambao gharama zote zinategemea ruzuku ya Serikali au tozo

Sio kitu kikubwa .They can't unawapa Private sector local or international

Heri Upokee kodi kuliko kodi kiduchu unazopata uwapelekee wao

Kinana kaongea kitu kizito mno lakini wasomi wetu wana dharau sana kwa wanasiasa

Mwanasiasa ni chief administrative officer wa fani zote za public sector ndio maana heads wote wa public sector huchaguliwa na kuapishwa na Raisi hata kama Raisi ni darasa la Saba au form four failure
Lakini shirika si mali ya CEO na wafanyakazi..wao hawana cha kupoteza, watatafuta ajira nyingine.
 
TTCL kushindwa kutoa gawio ni uzembe. Mbona makampuni kama Halotel, Airtel nk yameikuta na yanaendelea vizuri tu?
Parastatal kutengeneza faida siyo rahisi kihivyo. Wana cost structure kubwa ambayo private hawana, wana wafanyakazi wengi kwenye payroll. As well as bureaucracy kwenye maamuzi ni ndefu kuweza kuleta efficiency na profitability.
 
Tatizo ni usimamizi, mtaji, teknoloji au nini..nadhani nature ya tatizo ndio inaelekeza njia sahihi ya kurekebisha tatizo, kubinafsisha shirika wakati tatizo ni usimamizi inakuwa bora hata ungeliacha shirika km lilivyo, huwezi kuuza shirika kwa tatizo la usimamizi mbaya..tafuta wasimamizi wazuri shirika litafanya vizuri.
Tanesco. Mfano kulikuwa shida kubwa ya wasimamizi. Serikali ikampeleka Dr Idris Rashid mchumi aliyekuwa Governor wa benki kuu sio engineer wa umeme aka turn around Tanesco

Kulipa bili tu tulikuwa tunaenda kushinda siku nzima Tanesco kulipia bili ya elfu mbili!!

Sasa hao waliopo wanashindwa nini kufanya aliyofanya DR Idris Rashidi mkurugenzi mkuu wa Tanesco ambaye hajawahi kanyaga hata Veta kusoma umeme wakati toka uhuru Tanesco ilikuwa na mainjinia wa Umeme hadi wenye PhD kuanzia Tanesco hadi wizarani?
 
Parastatal kutengeneza faida siyo rahisi kihivyo. Wana cost structure kubwa ambayo private hawana, wana wafanyakazi wengi kwenye payroll. As well as bureaucracy kwenye maamuzi ni ndefu kuweza kuleta efficiency na profitability.
Faida/profitability ipi? Cash..km ni cash, kwa nini yaandikishwe km non profit entities..sidhani km faida inapaswa iwe interms of cash.
 
Unaijua BICO? Unaijua Mlimani City? Unajua kuna vyuo vikuu hapa nchini vinajiendesha kwa ada za wanafunzi tu? Ada hiyo hiyo wanalipa mishahara na gharama nyingine za uendeshaji. Lakini vyuo kama UDSM wanalipiwa mishahara, wanapewa OC kwa ajili ya gharama za uendeshaji na pesa za ujenzi wanapelekewa. Huoni kuwa kulikuwa na sababu kuwafanya wawajibike zaidi hata kwa kuambiwa walipe gawio?
Unaweza ukaweka hapa annual accounts za BICO ili tuone kweli kama walikuwa na uwezo wa kutoa gawio. Sio kila kitu unachoambiwa ni SBU (Strategic Business Unit) kina productivity.

Vitu vingine viko kupunguza gharama tu ya kuchonga vipuli kwenye private sector
 
Tanesco. Mfano kulikuwa shida kubwa ya wasimamizi. Serikali ikampeleka Dr Idris Rashid mchumi aliyekuwa Governor wa benki kuu sio engineer wa umeme aka turn around Tanesco

Kulipa bili tu tulikuwa tunaenda kushinda siku nzima Tanesco kulipia bili ya elfu mbili!!

Sasa hao waliopo wanashindwa nini kufanya aliyofanya DR Idris Rashidi mkurugenzi mkuu wa Tanesco ambaye hajawahi kanyaga hata Veta kusoma umeme wakati toka uhuru Tanesco ilikuwa na mainjinia wa Umeme hadi wenye PhD kuanzia Tanesco hadi wizarani?
Walimpataje Dr. Idris..dawa ni ku-liberalize recruitment process kwa Bodi na management ya mashirika.
 
Faida/profitability ipi? Cash..km ni cash, kwa nini yaandikishwe km non profit entities..sidhani km faida inapaswa iwe interms of cash.
Mashirika ya Umma yapo kwa mujibu wa Public Corporation Act ya 1967. Wala siyo Non Profit Organisation. Kasome hiyo Act kwanza ndiyo uulize swali lako vizuri.
 
Parastatal kutengeneza faida siyo rahisi kihivyo. Wana cost structure kubwa ambayo private hawana, wana wafanyakazi wengi kwenye payroll. As well as bureaucracy kwenye maamuzi ni ndefu kuweza kuleta efficiency na profitability.
Uongo

Mfano TTCL nini kiliwashinda wasiingie solo la Simu za mkononi wakati ilikuwa kampuni ya simu pekee Tanzania?

Nini kikiwadanya UDA walishika solo lote la abiria Dar es salaam wapite na daladala kupata faida na wao wafe?

Nini kiliwafanya National Milling Corporation wauza unga wote wa mahindi,ngano nk wafe washindwe kujiendesha kibiashara wakati walikuwa wao peke yao sokoni hadi wabinafsishwe Bakheresa awe Bilionea kwa bidhaa zile zile za National Milling ?
TEMESA kivuko cha kigamboni wameshindwa kuendesha pamoja na kuwa soko liko kibao hadi kupewa Bakheresa!! Wasomi Temesa qako kibao lakini hopeless
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefichua Siri iliyokuwa imefichika kuhusu gawio kwa serikali yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya mashirika na taasisi za umma huku yakiwa yamepata hasara.

Mkuu huyo wa nchi amesema viongozi wa mashirika hayo walikuwa wakikopa fedha benki na kupeleka gawio serikalini ili kuonesha yanatengeneza faida wakati yalikuwa yakijiendesha kwa hasara.

Hali hiyo ilijitokeza katika uongozi wa awamu ya tano ambapo mashirika ya umma yalitakiwa kutoa gawio serikalini,hali iliyozua maswali kwa yale yaliyotoa gawio ilhali yamepata hasara.

Rais Samia amesema viongozi wa mashirika hayo walikuwa wakihangaika huku na kule kuingia benki kukopa kulinda vibarua vyao,ikifika tarehe wahusika hao wanakuja na cheki zao wanatoa gawio lakini ukweli uzalishaji ni ziro.

======

Rais Samia Suluhu Hassan amefichua siri iliyokuwa imefichika kuhusu mali ya gawio kwa Serikali yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya mashirika na taasisi za umma huku yakiwa yamepata hasara.
Mkuu huyo wa nchi amesema viongozi wa mashirika hayo walikuwa wakikopa fedha benki na kupeleka gawio serikalini ili kuonyesha yanatengeneza faida, wakati yalikuwa yakijiendesha kwa hasara.

Hali hiyo ilijitokeza katika uongozi wa Serikali ya awamu ya tano ambapo mashirika ya umma yalitakiwa kutoa gawio serikalini, hali iliyozua maswali kwa yale yaliyotoa gawio hilo ilhali yamepata hasara.

Rais Samia alitoboa siri hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati akiwaapisha wakuu wa mikoa, makatibu tawala na kushuhudia viongozi wa taasisi na mashirika ya umma wakila kiapo cha maadili.

Kauli ya Rais Samia ni ya kwanza kuelezea mchezo huo ambao hata Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikibainisha baadhi ya mashirika kujiendesha kwa hasara.

Katika kile unachoweza kusema ni kuwaweka kitanzi, alisema kinachohitajika sasa kufanyika ni jitihada kubwa kuhakikisha mashirika hayo yanaleta tija kwa Taifa.

“Kwa wale wa mashirika, ukweli ni kwamba mashirika yetu hayafanyi vizuri, machache sana yanayofanya vizuri, kwa hiyo tumewapeleka huko kasimamieni ili yafanye kazi vizuri,” alisema.

Akisisitiza eneo hilo, Rais Samia aliyekuwa makamu wa Rais katika awamu ya tano, alisema, “mimi najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu mashirika yalikuwa lazima yanatakiwa yatoe gawio.”

“Kwa kuwa yalikuwa hayafanyi vizuri, wengi wenu mlikuwa mnahangaika huku na kule kuingia benki kukopa kulinda vibaru a vyenu, ikifika terehe husika hao wanakuja na cheki zao wanatoa gawio lakini ukweli uzalishaji ni ziro.”

Aliwataka wakuu wa mashirika yanayofanya vibaya kujirekebisha kwa kuwa hatakuwa tayari kuwavumilia na hatasita kufanya mabadiliko kila atakapoona mambo hayaendi sawa.

Katika hoja hiyo, Dk Donath Olomi ambaye ni mtaalamu wa uchumi na biashara alisema baadhi ya watu wanaokopa ili kulipa gawio wanajua kufanya hivyo si sahihi lakini wanalazimika kulinda vibarua vyao na kuwa gawio linatakiwa litokane na faida.

Profesa Haji Semboja kutoka Chuo kikuu cha Zanzibar alisema moja ya makosa yanayofanyika ni viongozi wa mashirika hayo, wakiwemo wakurugenzi, kuteuliwa na Serikali badala ya kufuata mchakato unaotakiwa wa watu kuomba kazi na kufanyiwa mchujo.

Katika hilo, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe alisema, “ilikuwa inajulikana dhahiri baadhi ya mashirika yalikuwa yanadanganya katika kutoa gawio. Rais kathibitisha tu jambo ambalo wengi tulikuwa tunajua.”
Zitto aliyewahi kuwa mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya mashariki ya umma (PAC) alisema, “mashirika ya umma yaweza kuwa chachu kubwa ya maendeleo iwapo Serikali ikiamua yawe hivyo.”

“Mashirika pia yawe huru kuweka fedha zake kwenye benki wazitakazo ili yawe na uhuru wa kusimamia fedha zao,” Zitto aliongeza.”

Wengine matumbo joto
Rais Samia pia alidokeza kwamba kuna mabadiliko mengine ya viongozi yanakuja kwa ngazi ya wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri , miji, majini na manispaa pamoja na makatibu tawala wa wilaya.
Katika hotuba yake alimtaka Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa kuwaandaliwa mafunzo maalumu ya kuwakumbusha wajibu wao.

“Tumefanya tathmini ya makundi yote, maDC (wakuu wa wilaya), wakurugenzi, maDas (makatibu tawala wa wilaya), wote, kwa vyovyote vile tutegemee kuna mabadiliko,” alisema Rais Samia.
“Kwa hiyo kila watakaoingia wafanyiwe mafunzo kama watakayofanyiwa wakuu wa mikoa, kila ngazi kwa aina yake ya mafunzo.”

Alisisitiza lengo la mafunzo hayo ni kukumbushana wajibu wa kazi zao ili mtu yoyote asiseme hakujua alipashwa kufanya nini.

Huduma kwa wananchi
Rais Samia alitumia fursa hiyo kuwasisitiza wakuu wa mikoa na makatibu tawala kujitoa kwa dhati kuwahudumia wananchi kwa kuwa ndiyo jukumu walilokula kiapo kulitekeleza.

“Nendeni mkawahudumie wananchi kwa moyo safi. Huna pengine pa kuhudumia ni Tanzania na ukifanya vizuri Mungu anakunyanyua anakupeleka pazuri, ukifanya vibaya ipo siku ubaya wako utajulikana na utaadhirika,” alisema.

“Mwakilishi wa Rais katika mkoa asiwe na rafiki, kwenda kutengeneza mtandao wa marafiki halafu kazi kwa wananchi hakuna, hilo halikubaliki, hatukuwateua kufanya hayo,” alisema.

Akizungumza kwa sauti ya chini na yenye kutoa ujumbe wa msisitizo, Rais Samia alisema, “tumewatuma mkatumikie wananchi, kafanyeni hivyo bila kuchoka. Kama Rais halali hadi saa tisa usiku wewe usingizi unautoa wapi, mnatuma meseji hadi usiku najibu ina maana silalali, sasa kama mimi silali wewe usingizi unaupataje.”

Magwanda ‘out’
Samia ambaye ni amiri jeshi mkuu, alitoa maagizo kwa wakuu wa mikoa ambao ni wanajeshi na polisi waachane na magwanda kwanza.

“…kwa makanali hatuwatarajii mkivaa kombati wakati mkitekeleza majukumu ya wakuu wa mikoa, ziwekeni pembeni mtazivaa mkirudi jeshini,” alisema.

Kwa miaka ya karibuni umekuwepo mtindi wa viongozi wa kisiasa au watendaji walioteuliwa kutoka jeshini kuvaa magwanda yao ya kijeshi katika utekelezaji wa majukumu yao.

Chanzo: Gazeti la mwananchi
Marehemu kafa na chake pigana upate chako, Mashirika yalijiendesha kwa hasara lakini lita moja ya mafuta ya kula ilikuwa 3500, Sabuni B29 ilikuwa 300, Mchele kg ilikuwa 1000 Hadi 1300, Diesel na Petrol sitasema chochote, kubadilisha gesi ilikuwa 21000 Hadi 22000, Watanzania ni mashuuhuda wa mengi.
 
Mashirika ya Umma yapo kwa mujibu wa Public Corporation Act ya 1967. Wala siyo Non Profit Organisation. Kasome hiyo Act kwanza ndiyo uulize swali lako vizuri.
Kuna wengine wanajidai hivyo kuwa wao kazi yao kutoa huduma sio kuzalisha faida
Kuwa ok tulianzishwa kwa sheria lakini Sisi sio Profit Making organisations wa kutoa gawio kwa Serikali
 
Dawa ni kushindanisha watu nafasi zote za kuongoza mashirika, mtu ahojiwe strategy yake kwa shirika husika ili apimwe kwa hayo..that's all.

Kama ilivyo kwa sasa jinsi halmashauri na majiji yanavyojinasibu kwa kukusanya kodi kubwa na kuvuka malengo ilihali mambo ni magumu.

Au wanavyotoa takwimu hewa za chanjo ya covid ili kuwaridhisha wafadhili.
Na jinsi wnavyomrubuni mama anaupiga mwingi wakati hali ya maisha si shwari!
Nchi hii kila kitu ni fake, hakuna uhalisia. Kuanzia historia na kila kitu!
Mambo mengine mi naona ni bora kukaa tu kimya
Anachokifanya ni kujifurahisha tuu, otherwise tuaminishwe kuwa ni magazeti ya udaku
 
Mashirika ya Umma yapo kwa mujibu wa Public Corporation Act ya 1967. Wala siyo Non Profit Organisation. Kasome hiyo Act kwanza ndiyo uulize swali lako vizuri.
Ok naondoa hiyo non profit organisation, faida/profitability unamaanisha cash..? Mfano hapo nyuma uliwahi sikia shirika km Air Tanzania au hata ATCL ya sasa wamepata faida unayosema?
 
Lakini shirika si mali ya CEO na wafanyakazi..wao hawana cha kupoteza, watatafuta ajira nyingine.
Uendeshaji shirika ni team work

Sio kazi ya CEO pekee

Usawa huu wa Ukosefu wa ajira shirika likifutwa kila mfanyakazi atajinyea kuanzia CEO hadi messenger
Nani yuko tayari kuchukua mfanyakazi toka Non performing government
Company? Au Private Company?thubutu!!!

Hata mimi kwenye genge langu la kuuza nyanya na vitunguu sikuajiri hata uwe na digriii zote duniani kutoka best universities in the world
 
Hicho alichosema Rais nina mashaka nacho, tafsiri ni nyingi sana..kwamba pamoja na kudanganya kutoa gawio feki, hawa CEO bado wanafaa, kwamba yeye Rais ni observer wa kutuambia wananchi kasoro za mashirika lakini yeye hahusiki na lolote whether yafanye udanganyifu, au hata yafe ni sawa tu..mishahara na stahiki zote kwa watumishi wa mashirika haya yasiyo na tija kwa nchi yeye haimuhusu hata km ni kodi za wananchi zinalipwa kwa watumishi wasio na faida kwetu..vinginevyo asingetoa hii statement.
 
Unapofuta shirika as if hakuna watu wenye uwezo, who loses...
Wao ndio wanatia hasara kuanzia CEO hadi messenger ndio maan linapata loss

Shirika linakabidhiwa private sector wanaojua kuzalisha kwa faida na kulipa kodi kuliko hao mabwege wategemea ruzuku ambao gharama zote zinategemea ruzuku ya Serikali au tozo

Sio kitu kikubwa .They can't unawapa Private sector local or international

Heri Upokee kodi kuliko kodi kiduchu unazopata uwapelekee wao

Kinana kaongea kitu kizito mno lakini wasomi wetu wana dharau sana kwa wanasiasa

Mwanasiasa ni chief administrative officer wa fani zote za public sector ndio maana heads wote wa public sector huchaguliwa na kuapishwa na Raisi hata kama Raisi ni darasa la Saba au form four failure au kasoma madrasa tu hana elimu dunia
 
Back
Top Bottom