Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajaacha kuua, na sisi tusiache kuwapa adhabu ya kifo!Pamoja na uwepo wa hiyo adhabu, wauaji wameacha kutoa roho za watu?
Mnaposema "ya kizamani" mnamaanisha nini? Kwamba siku hizi haiui vizuri au?Adhabu ya kifo pekee inayotakiwa kubaki ni ya sindano ya sumu inayomfanya anayehukumiwa kusinzia na kupitiliza. Nchi zenye option ya kuchagua wengi huchagua sumu.
Ama ziwepo options zaidi ila sumu isikose. Hiyo ya kiti cha umeme ni ya zamani pia
Mauaji hayawezi kuisha Duniani lakini hilo haizuii wauaji pia kuuawa.
Adhabu ya kifo haizuii watu wasiendelee kuua watu ila hakuna sababu ya kuendelea kuwapa nafasi wauaji ya kuendelea kuishi wakati wao hawakujali maisha ya watu wengine.
Hatuwezi kuendelea kulipia mauaji chakula na ulinzi gerezani, waendelee kuishi. Hiyo hela inaweza kutumika kusaidia jamii ama matatizo mengine katika jamii, jamii ina changamoto nyingi sana zinazohitaji msaada, sio wauaji. Akiua, auwawe.
Watu ambao hawakujali maisha ya watu wengine, hatuna sababu ya kujali maisha yao.
Jibu ni hapana kwani miaka 30 jela imewafanya muache kubaka?
Inaua kwa kutesa. Lengo la kuhukumu kunyonga sio kumkomoa mkosaji ni kuzuia watu wengine kufanya kama yeye. Mtu anaua mke wake na mtoto kisa mke kagoma mume asiongeze mke wa pili, bila adhabu stahiki yatajirudia sanaMnaposema "ya kizamani" mnamaanisha nini? Kwamba siku hizi haiui vizuri au?
Nibadilishe kumfurahisha naniBasi rekebisha ulichokiandika, Haina mantiki.
Kuna adhabu isiyotesa? Mimi nadhani hayo mateso ni sehemu ya adhabu na inafaa.Inaua kwa kutesa. Lengo la kuhukumu kunyonga sio kumkomoa mkosaji ni kuzuia watu wengine kufanya kama yeye. Mtu anaua mke wake na mtoto kisa mke kagoma mume asiongeze mke wa pili, bila adhabu stahiki yatajirudia sana
Sheria haifanyi hivyo. Mtu ni gaidi kalipua bomu limeua watu 20 utafanyaje ili kufananisha madhara aliyoleta, au utaua familia yake kisa ameua watu wengi.Kuna adhabu isiyotesa? Mimi nadhani hayo mateso ni sehemu ya adhabu na inafaa.
Jambazi anaekata watu mapanga, anatakiwa apitie mateso pia. Kumuua kwa sumu, ni kumpa starehe ambayo hastahili.
Ubaya wa adhabu ya kifo nauona tu pale adhabu hii pengine inapomwangukia mtu asiye na hatia I believe hili huwa linatokea ila kwa jitu linaloua kwa kudhamiria hakuna adhabu nyingine impasayo hayawani kama huyu isipokuwa adhabu ya kifo tu.We jamaa hivi vitu havina uhusiano. Imagine upo kazini unapigiwa simu kuna kiumbe kaua mtoto wako
Ningekua kwenye position ya kusign utekelezaji wa hii hukumu . Ningewala vichwa sana
Yes, hatuwezi kulipiza. Lakini pia hatuwezi kuwahurumia!Sheria haifanyi hivyo. Mtu ni gaidi kalipua bomu limeua watu 20 utafanyaje ili kufananisha madhara aliyoleta, au utaua familia yake kisa ameua watu wengi.
Mara nyingi huwezi lipiza madhara yaliyofanywa na mhukumiwa. Hukumu sio mateso
Ilitakiwa kwenye hiki kiti kupakwe upupu ili makalio ya marehemu mtarajiwa yaanze kupata usumbufu mdogomdogo wakati jamaa wanaendelea kuseti mitamboInterrogation chair
Waulizee akina adamoo kuhusu hiki kiti cha motoView attachment 2443365
Wauaji ni pamoja na hao wanaotoa na au kutekeleza adhabu za vifo!Itapitwa na wakati wauaji watakapoacha kutwaa roho za watu
You are right sir!Nibadilishe kumfurahisha nani
Hawa ndio kiboko ya wauaji sasaWauaji ni pamoja na hao wanaotoa na au kutekeleza adhabu za vifo!
Wauaji na kiboko ya wauaji wote ni wauaji, kama hao kiboko ya wauaji wanatumia uuaji katika ukiboko wao!Hawa ndio kiboko ya wauaji sasa
Wakikujibu pls nipe Nami taarifa,adhabu ya kifo nitaifuta within 10mins ya Urais wangu including copral punishment kwa wanafunzi ,futilia mbali huu ni ujima, unyama na ukatiliPamoja na uwepo wa hiyo adhabu, wauaji wameacha kutoa roho za watu?