Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Mi naona utengenezwe mto feki kisha wawekwe mamba wengi na wasipewe chakula siku tatu kabla ya hukumuAdhabu ya kifo pekee inayotakiwa kubaki ni ya sindano ya sumu inayomfanya anayehukumiwa kusinzia na kupitiliza. Nchi zenye option ya kuchagua wengi huchagua sumu.
Ama ziwepo options zaidi ila sumu isikose. Hiyo ya kiti cha umeme ni ya zamani pia
Siku ya hukumu wafungwa wanatupiwa mtoni hadi maji yawe mekundu. Just idea