Mkuu
Mshana Jr, usiwe na wasiwasi kuhusi hii kitchen cabinet yetu, sio tu ni halali kabisa kikatiba na kisheria, bali pia ina legitimacy ya kuchaguliwa na Watanzania by proxy ile 2020 kwa sababu kila kura iliyomchagua mpishi Mkuu 2020 pia mlimchagua mpishi msaidizi!.
Yes hii ni kweli himaya inaweza kuanguka 2025, ila mchezo wa siasa ni scientific game, sio mchezo wa kombolela, au bahati nasibu kama sadakalawe au kolokolo, mchezo huu unafuata scientific principles, ili himaya moja kuanguka lazima kwanza kuwe na himaya nyingine yenye nguvu zaidi za kuiangusha himaya iliyopo na kuichukua nafasi yake, but its very unfortunately kwa himaya yetu hii, hakuna himaya mbadala to replace it, hivyo 2025 himaya inaendelea, labda 2030!.
Pia hapa nakubaliana kabisa na wewe kuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya sio tuu wamechoshwa na harufu mbaya bali walichoshwa siku nyingi, ila mwili wa binadamu ni mwili wa ajabu, mtu ukikaa mahali kwenye harufu mbaya ya uvundo kwa muda mrefu, pua zako zinazoea na unakuwa huisikii tena hii harufu ya uvundo. Hivyo Wanahimaya wameisha zoea, na 2025 mwendo ni ule ule mwendo mdundo wa Unachukua...
Unaweka...
Waa...
P