‘Kitchen Cabinet’ na anguko la himaya 2025

Mkuu Mshana Jr, usiwe na wasiwasi kuhusi hii kitchen cabinet yetu, sio tu ni halali kabisa kikatiba na kisheria, bali pia ina legitimacy ya kuchaguliwa na Watanzania by proxy ile 2020 kwa sababu kila kura iliyomchagua mpishi Mkuu 2020 pia mlimchagua mpishi msaidizi!.

Yes hii ni kweli himaya inaweza kuanguka 2025, ila mchezo wa siasa ni scientific game, sio mchezo wa kombolela, au bahati nasibu kama sadakalawe au kolokolo, mchezo huu unafuata scientific principles, ili himaya moja kuanguka lazima kwanza kuwe na himaya nyingine yenye nguvu zaidi za kuiangusha himaya iliyopo na kuichukua nafasi yake, but its very unfortunately kwa himaya yetu hii, hakuna himaya mbadala to replace it, hivyo 2025 himaya inaendelea, labda 2030!.

Pia hapa nakubaliana kabisa na wewe kuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya sio tuu wamechoshwa na harufu mbaya bali walichoshwa siku nyingi, ila mwili wa binadamu ni mwili wa ajabu, mtu ukikaa mahali kwenye harufu mbaya ya uvundo kwa muda mrefu, pua zako zinazoea na unakuwa huisikii tena hii harufu ya uvundo. Hivyo Wanahimaya wameisha zoea, na 2025 mwendo ni ule ule mwendo mdundo wa Unachukua...
Unaweka...
Waa...
P
Wakwongwe wa JF katika moja na mbili. Ujumbe murua kabisa toka kwa Mshana Jr na comment bora toka kwako mzee wetu. Big Up kwako.
 
Ni hatari sana porojo zinapogeuzwa mijadala!
Ni
Mna maneno mengi sana yasiyo na Tija badala mjadili anguko na Kushindwa Kwa maandamano uchwara Mko busy na Dua la kuku 😆😆

Huko mnakoita kitchen cabinet kama Kuna watu wanatumia nafasi ndivyo sivyo watawajibika wao as individual na sio Dua la kuku la kuangusha Serikali,hizi ndoto mlianza siku nyingi ila mumeshindwa.
Ukiona gari ni kubwa na limekuzidi mwendo usipaparike kulidandia hasa kwa mbele unaumia vibaya sana na ni heri uumie kiuno tupunguze kizazi
Mimi nafikiri badala ya kulalamikia KC tungepaswa kushangaa idara zetu kushindwa ushawishi hadi dada yetu Maria asaidie kupiga kelele.

Ipo siku maelekezo yatatokea kwa jirani na tutaishia kulalamikia mitandaoni kama watu walioshiwa mbinu.

Sasa Nyie wachawi na waganga kwanini hamuwalogi hawa wasiojulikana wanatutesa? Samahani kama niko nje ya mada
Kila jambo lina kanuni zake.. Mchawi harogi bila ombi maalum la kufanya hivyo na ni lazima awepo mtendaji atakayechukua na kumtelekeza maelekezo ya mlozi
 
Uteuzi upi?, wa 2020 au 2025?
P
Uteuzi wa watendaji wa KC
 
Mkuu Mshana Jr umeandika hoja ya msingi Ila inaweza kuwa kitendawili kwa ambacho baaadhi ya wana JF wakashindwa n’gamua.

Kwa uandishi wako baadhi yetu tunaweza soma msamiati wa mada bila ya kuelewa ina bashiriana vipi na kichwa cha habari.

Hilo neno ‘Kitchen Cabinet’ hata ukiwauliza waingereza lilipotokea si ajabu 70% ya population wakashindwa kukuelewa, ni muhimu kuelewa wasomali wako kabla ya kuwapa lugha ya kitaaluma.

Ni hivi.

Kitchen Cabinet (ni nini).

Ni kikundi cha watu wachache ambao ni marafiki kiongozi anaowaamini na kuwahusisha kwenye maamuzi yake; bila ya kuzingatia wataalamu wengine wa ushauri alionao.

Nimeona ni muhimu kuweka kuliko hilo, kwa uzoefu wangu wa JF. Japo hoja yako inaeleweka kwa wanasiasa, Iła kuna wachangiaji wengi ambao siasa sio fani yao.
Kitchen Cabinet (ni nini).

Ni kikundi cha watu wachache ambao ni marafiki kiongozi anaowaamini na kuwahusisha kwenye maamuzi yake; bila ya kuzingatia wataalamu wengine wa ushauri alionao.❤❤❤
paskal kasema ipo kisheria! P tafadhali jongea hapa
 
Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
Unaota ndoto za mchana
 
Mkuu Mshana Jr, usiwe na wasiwasi kuhusi hii kitchen cabinet yetu, sio tu ni halali kabisa kikatiba na kisheria, bali pia ina legitimacy ya kuchaguliwa na Watanzania by proxy ile 2020 kwa sababu kila kura iliyomchagua mpishi Mkuu 2020 pia mlimchagua mpishi msaidizi!.

Yes hii ni kweli himaya inaweza kuanguka 2025, ila mchezo wa siasa ni scientific game, sio mchezo wa kombolela, au bahati nasibu kama sadakalawe au kolokolo, mchezo huu unafuata scientific principles, ili himaya moja kuanguka lazima kwanza kuwe na himaya nyingine yenye nguvu zaidi za kuiangusha himaya iliyopo na kuichukua nafasi yake, but its very unfortunately kwa himaya yetu hii, hakuna himaya mbadala to replace it, hivyo 2025 himaya inaendelea, labda 2030!.

Pia hapa nakubaliana kabisa na wewe kuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya sio tuu wamechoshwa na harufu mbaya bali walichoshwa siku nyingi, ila mwili wa binadamu ni mwili wa ajabu, mtu ukikaa mahali kwenye harufu mbaya ya uvundo kwa muda mrefu, pua zako zinazoea na unakuwa huisikii tena hii harufu ya uvundo. Hivyo Wanahimaya wameisha zoea, na 2025 mwendo ni ule ule mwendo mdundo wa Unachukua...
Unaweka...
Waa...
P
Asipoelewa jibu hili hatokaa aje kuelewa tena mpaka atakapokuwa shaibu kabisa baada ya miaka yake miwili iliyobaki.
 
Mna maneno mengi sana yasiyo na Tija badala mjadili anguko na Kushindwa Kwa maandamano uchwara Mko busy na Dua la kuku 😆😆

Huko mnakoita kitchen cabinet kama Kuna watu wanatumia nafasi ndivyo sivyo watawajibika wao as individual na sio Dua la kuku la kuangusha Serikali,hizi ndoto mlianza siku nyingi ila mumeshindwa.
Kitchen Cabinet (ni nini).

Ni kikundi cha watu wachache ambao ni marafiki wa kiongozi anaowaamini na kuwahusisha kwenye maamuzi yake; bila ya kuzingatia wataalamu wengine rasmi wa ushauri alionao (civil servants).
Credit: Mayor Quimby
 
Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
Nilichogundua katika maisha ni kwamba mkitanguliwa/kuongozwa na wanyonge, wote mnakuwa wanyonge.
Ng'ombe anayechelewesha msafara mara nyingi huwa ni wa mbele lakini anatandikwa wa nyuma!
 
Kuna unyonge na kuna uwezo na kuna uthubutu... Ni vitu muhimu sana hata kwenye msafara wa kima
 
Himaya huinuliwa na watu na himaya huangushwa na kupitia..
Ni kwa kupitia maono, mahitaji ya nyakati na kikomo cha muda.. Utawala husimama ama huanguka
Watu kama viumbehai vyenye utashi ni mtaji mkubwa sana kwenye himaya yoyote ile.. Watu hao hugawanyika katika makundi kadhaa
Wabeba maono/waongoza njia
Wasaidizi wao
Watendaji wakuu
Watendaji wa kati
Watendaji wa chini
Wanahimaya waongozwaji.. Watawaliwa..!
Hili kundi la mwisho ndio kundi msingi lenye mrejesho halisi toka kwa makundi mengine yote! Mrejesho hasi ama chanya!
Kuna kitu kipya kimeibuka sasa kunaitwa kitchen cabinet.. Unaweza kutafsiri kama kabati la jikoni ama baraza la jikoni nknk..
Jiko ndani ya nyumba ni muhimu sana maana ndipo kilipo chanzo cha shibe na nishati ya himaya ya mwili...
Waswahel wanasema nyumba ni choo.. Kwakuwa ni rahisi kutunza kilichoko jikoni(kiingiacho) kuliko kitokacho
Meko njema hustawisha afya na uhai wa wana familia ndani ya kaya! Meko mbovu ni sumu na anguko la kaya ndani ya familia
Kitchen cabinet inayopigiwa kelele kwa kila aina ya ubaya na uchafu sijui iko halali kiasi gani kisheria.. Lakini kutokana na mazonge yake inaweza kuwa ndio chetezo cha anguko la himaya 2025.. Kwakuwa uturi wake haunukii tena bali unatoa harufu kali ya uvundo unukao sana na Wanahimaya wamechoshwa na harufu mbaya
Mbona unamsema chairman wa Chadema na wasaidizi waandamizi wake muhimu kwa mafumbo?

Kwamba kwenye sehemu ya uchaguzi ndani ya chama iliyosalia hawatatoboa2025,?

na kwamba usaliti wa wanachama kwenye maandamano ya juzi ndio mwanzo wa mwisho wa himaya ya miongo kadhaa ya uongozi wa chairman Chadema Taifa?

Na hiyo ni ramli au tena kuna kafara hapo katikati?

Masuala ya Imani potofu kushiriki uganga na ushirikina kwenye kutafuta uongozi wa kisiasa ndrugu zango wadau sio mzuri, acheni kuchukuana misukule ndrugu zango?🐒
 
Hajatajwa mtu wala taasisi hapa lakini mmeshaanza kurukaruka kama mbaazi kikaangoni. Small minds discuss people
 
Kwakuwa Ule mlango uliofunguliwa haujafungwa,

Tusubiri kuona who's next.
 
Back
Top Bottom