Kitendawili cha mtandao wa internet ambacho mpaka leo kimeshindikana kuteguliwa

Alafu kuna kitu mtoa mada unashindwa kuelewa, blockchain ilikuwepo theoretical, lakin huyo mjapan asiyejulikana aliiweka kwenye implentation ambayo akaja na Bitcoin,

Vitu vingi unavyovyiona theoretical vipo
 
Blockchain ina bugs nyingi mbona iko kitu watu wamekiongelea sana, ndo maana Kuna makampuni Wana remove bugs kwenye blockchain system kuondoa bugs
Bugs inazo hakuna system isiyo na bugs ila mpaka sasa hakuna aliyeweza hack bitcoin akafanya double spending au akaongeza pesa nyingine. Unahisi hackers hawapendi? yes bugs zipo lakini siyo za kuhack network na hilo ndilo shida huwezi fanya double spending, huwezi introduce pesa ambayo haipo
 
Alafu kuna kitu mtoa mada unashindwa kuelewa, blockchain ilikuwepo theoretical, lakin huyo mjapan asiyejulikana aliiweka kwenye implentation ambayo akaja na Bitcoin,

Vitu vingi unavyovyiona theoretical vipo
Najua sana blockchain na public ledger ilikuwepo toka mwaka 1992, lakini impelementantion yake allikuja kuifanya huyo jamaa, mfumo wa mwanzo wa blockchain ulifail vibaya.
Kuwa theoretically ni rahisi kuliko implimentantion yake. Ugumu wa kuhack network ni kwamba hakuna center ianyohusika na kuendesha au kushikiria data za mfumo mzima wa bitcoin. Haiko centralized hapo ndiyo maana ili uwezi kuhack mfumo wa bitcoin lazima uhack 51% ya network nzima.
 
Smart contract watu Wana hack uko wapi
Narudia tena hao wengine sijui theorem crypto wamehackiwa ila siyo bitcoin, bitcoin network yake haijawahi kuwa hacked, kuna waliojaribu nadhani ilikuwa 2014 wakaintroduce new cryptocurrency, lakini si kwa kuhack network, within hours that bug ilikuwa fixed na hiyo pesa ikaondolewa
 
Cryptocurrency ndo Bitcoin
 
Cryptocurrency ndo Bitcoin
Brevis ni gari ila siyo kila gari ni brevis...
Cryptocurrency ni term inayo refer digital currency, lakini siyo kila digital currency ni bitcoin inaelekea huelewi hata haya mambo.
zipo kibao kama ethereum, riple, lifecoin, bitcoin cash na nyingine nyingi ikiwemo na ile onecoin (which was a scam by Dr.Luja akakimbia na mamilion ya madollar ya watu)
 
List of cryptocurrency Bitcoin, litecoin na nyinginezo nyingi mbona unabisha vitu viko wazi, na zote zinakua recorded kwenye blockchain mbona vitu viko wazi
 
Bitcoin ndo cryptocurrency ya kwanza kuanzishwa mwaka 2009 Satish nakamoto, ikaja litecoin 2011 Charlie lee, na nyinginezo ambazo ziko nyingi
 
List of cryptocurrency Bitcoin, litecoin na nyinginezo nyingi mbona unabisha vitu viko wazi, na zote zinakua recorded kwenye blockchain mbona vitu viko wazi
Implementantion yake ndiyo inazitofautisha, umesema cryptocurrency ndiyo bitcoin nimekusahihisha kwa kukwambia ni sawa useme gari ni brevis.
labda ngoja nikupe mfano, 5G network, kila kampuni ina style ya implementantion yake NOKIA wanatengeneza mfumo wa 5G lakini kwa implementantion tofauti na Huawei lakini mwisho wa siku inaitwa 5G. Same applies to the blockchain.
Ndiyo maana inasemekana mfumo wa 5G wa Huawei ni bora zaidi.
 
Bitcoin ndo cryptocurrency ya kwanza kuanzishwa mwaka 2009 Satish nakamoto, ikaja litecoin 2011 Charlie lee, na nyinginezo ambazo ziko nyingi
Hapa unalenga kumaanisha nini maana sijaona hoja yako?
 
Hapa unalenga kumaanisha nini maana sijaona hoja yako?
Siulikua unasema Bitcoin na cryptocurrency ni vitu viwili tofauti, nilikua nakuambia Bitcoin ndo cryptocurrency ya kwanza kabisa, ikaja litecoin 2011 Charlie lee, namecoin coin 2011 vicent Durham, na nyingine nyingi
 
Siulikua unasema Bitcoin na cryptocurrency ni vitu viwili tofauti, look nakuambia Bitcoin ndo cryptocurrency ya kwanza kabisa, ikaja litecoin 2011 Charlie lee, namecoin coin 2011 vicent Durham, na nyingine nyingi
Unaweza kunionyesha wapi nimesema bitcoin na cryptocurrency ni vitu viwili ni vitu tofauti? Mkuu inaelekea unasoma ila huelewi ninachoandika.
 
Unaweza kunionyesha wapi nimesema bitcoin na cryptocurrency ni vitu viwili ni vitu tofauti? Mkuu inaelekea unasoma ila huelewi ninachoandika.
Endea kuamin unachoamini, na mim niendelee kuamini nachoamini
 
Endea kuamin unachoamini, na mim niendelee kuamini nachoamini
Umenimezesha maneno, mimi nimekwambia cryptocurrency siyo bitcoin lakini bitcoin ni cryptocurrency. Cryptocurrency ni general term ya digital currency bitcoin ni brand name ya cryptocurrency ya Satoshi. Ndiyo maana nikakupa mfano kwamba ni swa useme kila gari ni brevis, brevis ni brand name ya gari
 
Kuna uwezekano atukuelewana
 
Huyo jamaa uliyeweka picha yake ndie Satoshi eh?

Acha bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…