Kitendawili cha mtandao wa internet ambacho mpaka leo kimeshindikana kuteguliwa

Kitendawili cha mtandao wa internet ambacho mpaka leo kimeshindikana kuteguliwa



SUBSCRIBE, SHERE, LIKE AND COMMENT KWA KUJIPATIA MUENDELEZO WA MASHAIR YATAKAYO KUWA YANATUMWA SIKU ZOTE KWENYE CHANNEL HIII.


Shairi hili linaitwa Kisiki -Shamba Kuzilima Nyingi
By Khamisi Mbaraka -
kutoka Zanzibar Cheju
 
Atumike kubuni teknolojia ya kudhiti COVID-19, badala ya kuozea jela tu.
mi sitaki kuamini kama jamaa anaozea jela watakua wanamtumia tu huko huwezi acha kichwa kama hiki kiozee huko jela kizembe ivi.....
 
Yani wabongo mna speculations sana yani sana hadi muda mwingine uwa najiuliza hivi watu uwa mnajishughulisha kusoma?
Hivi kwa bandiko hili unaweza kuconclude kuwa mtu anashawishi mtu ajiunge bitcoin? Hivi unajua kwanini bitcoin inasifiwa? Bitcoin inasifiwa kwasababu ya mfumo yani technology iliyo nyuma ya pesa hiyo inayojulikana kama blockchain ambayo haiwezi kwua tempered.
Hiyo technology inaweza tumika katika mifumo mingne ya kifedha na mikataba ya kidijitali siyo lazima iwe bitcoin na hiyo ndiyo the greatest invention ya huyu jamaa.
Nashangaa ume conclude kwamba anatafutwa mtu kupigwa ela aisee muwe mnajisomea mambo basi yani na hii internet na habari zote unashindwa soma mambo.
Tatizo la wabongo hilo.. sijui tulishakuwa traumatized na matapeli hadi mtu akiona kitu kinachohusu pesa ambacho hakielewi anajua ni utapeli tu..
 
Wewe hata hujui unachokisema..
Hapo kuna watu wanatafutwa, uzuri huu utapeli unawakamata sana wasomi, mzee kastaafu kapata milioni 80 anaambiwa wekeza kwenye bitcoin, mfumo wa kisasa utapata Mara kumi ndani ya miezi mitatu, wamekufa na presha. Hizi bitclub, aws mining na wenzao ni janga sugu la wazawa
 
Back
Top Bottom