Kitendawili cha Polisi kuzuia mikusanyiko, mikutamo na maandamano kama inavyoruhusiwa na Katiba chateguliwa!

Kitendawili cha Polisi kuzuia mikusanyiko, mikutamo na maandamano kama inavyoruhusiwa na Katiba chateguliwa!

Wewe ni miongoni mwa wasiofiriki vema. Hivi kila siku si tunaona mikutano live TBC. hao watu wanaongalia wanafanya kazi saa ngapi. Mbona kila siku tunaona akina Pole na Bushy wakihutubia, je, wanahutubia watu wa nchi gani.

Hao viongozi wanaokusanyika kushuhudia wenzao wakiapishwa wao wanafanya kazi saa ngapi.

Wale wananchi wanaosimamisha misafara ya viongozi wawasalimie wanafanya kazi saa ngapi

Nani aliwahi kulala na njaa akalalamika serikali haikumpa chakula.


Ufinyu wa akili yako ni pale usipoamini kuwa katika Taifa hakuna sheria zinazoongoza muda wa muda. Ndiyo maana kuna wakati wapo wanaocheza ngoma, mpira, wanafunga ndoa, semina n.k.
Huhitaji kupangiwa muda maana hata mkoloni hakuwahi kupangia watu muda

Kukusanyika ni haki yako ya kiraia, kisheria na kibinadamu isipokuwa tu kwa waliofubaa akili kama wewe
Hawa hakupangiwa na mtu lakini kulikuwa na arrest na injuries kwa police na raia
Sasa sijui wewe una advocate uhuru gani???

The yellow vests movement or yellow jackets movement is a populist, grassroots protest movement for economic justice that began in France in October 2018. After an online petition posted in May had attracted nearly a million signatures, mass demonstrations began on 17 November. Wikipedia
Date: 17 November 2018 – present; (1 year, 8 months and 17 days)
Injuries: 4,000 (police and civilians)
Status: Ongoing
Methods: Protest, Social media
 
Huko Mbeya tayari polisi wameanza vituko yao...kwa hakika vurugu zote za kisiasa huanzishwa na polisi. IGP Sirro polisi wako wanatumika vibaya! Usipowadhibiti wa kulaumiwa ni wewe. Polisi wako wamekuwa na tabia ya kuwaumiza wananchi bila sababu lakini wewe unakuwa kama huoni. Kuna siku utaingia matatani na hao wanasiasa uchwara wanaokutumia watakukimbia...PLEASE STOP THIS!
 
Ndio maana wakati huu hawajawasumbua, maana yake imeruhusiwa.

Ingekuwa 2019 au late, wangekuwa wamewatishia alafu wakawaacha ndio ni/tungesema wamenywea
vingenevyo ni mmeruhusiwa.
Polisi wa Tanzania hawajawahi kutishia halafu wakakaa kimya kama amri yao imekiukwa. Tungesema wameruhusu kama angalau wangekaa kimya
 
The biggest street gang is the Police.

Count is saying that, out of all the high-powered, criminal street gangs, the largest and most dangerous of them all is the Police Department itself! This is due to police brutality and corruption in the force, and Count says that this makes the Police more criminal than the gangs themselves.
 
Mkipigwa kwenzi mmeonewa, mkiachwa mmeogopwa. Utoto mtupu.
Sasa Magonjwa na wewe, Jeshi la Polisi ni Jeshi lenye dhamana ya usalama wa raia nchi hii. Likitoa Amri, sharti itekelezwe, ama sivyo linachukua sheria. Jeshi limetoa anri, tena hadharani. Watu wamekaidi, hadharani. Jeshi likakaa kimya. Hapo hakuna cha huruma. Huko ni kunywea.

Kama Jeshi lingesema kwamba CHADEMA wampokee kiongozi wao, ila wazingatie sheria, hapo tungesema jeshi letu limetumia hekima na tungepongeza. Lakini kwa hicho kilichotokea, huko ni kunywea tu.
Haiwezekani miaka 5 jeshi limekaza buti, leo hii iwe hivi .
 
Kumbuka hiki ni kipindi cha siasa miezi 3 hivi kuelekea kwenye uchaguzi sio siasa baada ya uchaguzi na kuhujumu maendeleo ya nchi ambayo wewe mwenyewe unadai kutaka kuyaleta, sasa unategemea maendeleo yanaletwa na siasa au kwa kufanya kazi ?
Hata south africa kabla ya uhuru wale kaburu walikuwa na akili kama yako
 
Jeshi la Polisi ni la kufumuliwa na kuundwa upya.
 
Huko Mbeya tayari polisi wameanza vituko yao...kwa hakika vurugu zote za kisiasa huanzishwa na polisi. IGP Sirro polisi wako wanatumika vibaya! Usipowadhibiti wa kulaumiwa ni wewe. Polisi wako wamekuwa na tabia ya kuwaumiza wananchi bila sababu lakini wewe unakuwa kama huoni. Kuna siku utaingia matatani na hao wanasiasa uchwara wanaokutumia watakukimbia...PLEASE STOP THIS!
Polisi agizo/amri toka juu halipingwi wala kuhojiwa ndo maana vituko na matukio mengi yasiyo ya kiKatiba wala ya kisheria yamekuwa yakitokea Awamu hii lakini hakuna wa juu yeyote atasikika akikemea au kuhoji. Tumeona wananchi wakitekwa, wakiteswa, wakiuwawa au kujeruhiwa lakini hakuna wa kukemea kwasababu huwa ni amri/agizo toka juu. IGP naye ana mkubwa wake kwa hiyo tatizo liko juu wengine wote ni watekelezaji tu.
 
Yawezekana watu wengi wanashangaa kwa nini hali imeendelea kuwa shwari toka Mh. Tundu Lissu atue nchini. Binafsi nawapongeza Watanzania wenzangu, asanteni Watanzania popote mlipo.

Watanzania kwa mamia na maelfu wameweza kujitokeza kwa wingi na kuandamana kwa amani bila misukosuko yoyote kutoka kwenye chombo chenye jukumu la kulinda amani, asanteni Jeshi la Polisi.

Kwa sasa tungetakiwa kutafakari polisi wetu kila mara kuzuia mikusanyiko huru ya wananchi inatokana na hofu gani? Hiyo hofu ya polisi kuzuia maandamano huru ya wananchi inatokana na nini?

Nina hakika kama polisi wetu wangeingilia hii mikusanyiko tuliyoishuhudia kama kawaida yao, wananchi wengi wasio na hatia wangekuwa vilema wakiuguza majeraha yaliyotokana na vipigo kutoka jeshi hilo.

Je, kama Watanzania tumejifunza chochote kutokana na hali hii? Binafsi naadhani jibu limepatikana...

Kilichodhihirika wazi ni kwamba polisi wetu badala ya kutekeleza jukumu lao kulinda amani wanatumika na chama tawala CCM kuvuruga amani kama kigezo cha kuwanyima wapinzani uhuru wao wa kikatiba.

Hakika adui nambari wani wa taifa hili ni CCM!

View attachment 1536495...View attachment 1536501View attachment 1536497View attachment 1536498View attachment 1536502View attachment 1536500
Huu ni wakati wa Siasa mkuu! Baada ya tar 28 October, siasa zitahamia Bungeni na kwenye H/mashauri. Tatizo nyie mlitaka muda wa kazi mpige domo na maandamano yasio na msingi. Tumieni muda huu vizuri msije juta tena baada ya uchaguzi
 
Yawezekana watu wengi wanashangaa kwa nini hali imeendelea kuwa shwari toka Mh. Tundu Lissu atue nchini. Binafsi nawapongeza Watanzania wenzangu, asanteni Watanzania popote mlipo.

Watanzania kwa mamia na maelfu wameweza kujitokeza kwa wingi na kuandamana kwa amani bila misukosuko yoyote kutoka kwenye chombo chenye jukumu la kulinda amani, asanteni Jeshi la Polisi.

Kilichodhihirika wazi ni kwamba polisi wetu badala ya kutekeleza jukumu lao kulinda amani wanatumika na chama tawala CCM kuvuruga amani kama kigezo cha kuwanyima wapinzani uhuru wao wa kikatiba.

Hakika adui nambari wani wa taifa hili ni CCM!
Mkuu Mag3.
Kwenye hili la polisi kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani kwenye mikutano ya siasa na maandamano, naunga mkono hoja, hata mimi niliwahi kupongeza
Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa!

Pongezi Jeshi la Polisi. Japo Nabii hakubaliki nyumbani, Jeshi sasa ni Sikivu, Most friendly na very hospitable

Ila hii hoja yako ya Adui No.1 wa taifa hili ni CCM!, with all due respect, I'd like to differ, to disagree with you kuwa that is not true and that is where and always Chadema get it wrong na inaishia kupigwa, na this October, Chadema inakwenda kupigwa tena!.

Japo kwa sasa na mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini mimi ni kada objective kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na sio maslahi ya chama

Hiyo dhana ya adui mkubwa wa taifa hili ni CCM, it's a wrong notion.

Tuko wana CCM very objective tunapenda kuona CCM inashinda ushindi wa kishindo lakini kwa kufanya siasa safi na sio siasa za figisu au bado la mkono, hivyo tunawapo wapa ushauri wa bure Chadema, we are very genuine kupata Bunge la vyama vingi kihalali.

Tangu ile 2015 nilizungumzia hili
Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

Baada ya kupigwa, kuelekea 2020, nikawashauri tena
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike

Naoma somo hili bado halijaeleweka Chadema, hivyo uchaguzi huu wa 2020, it's very unfortunately kwa such notions, Chadema is just going to be wiped away!.

Take it or leave it.
Poleni in advance.
Pasco
 
Back
Top Bottom