Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?

Kitendo cha mchezaji Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.

Je umekionaje? Mshana Jr
 
Labda aliamua tu ili kuwaharibu mbumbumbu fc kisaikolojia (kama mnavyoamini ni kitendo cha kishirikina) moja kwa moja pengine kile kitendo kilisaidia kufnya wachezaji wa simba waathirike kisaikolojia, ni mbinu ya kawaida dhidi ya mpinzani wako
 
Tutoe mpira nje afu tukabe....

Sisi leo ni kukabatu..... Naona ilikua ni sign kwamba wapo kuzuia.
 
Ko unavoona waliathirika au taabu ndo ilizidi?
Labda aliamua tu ili kuwaharibu mbumbumbu fc kisaikolojia (kama mnavyoamini ni kitendo cha kishirikina) moja kwa moja pengine kile kitendo kilisaidia kufnya wachezaji wa simba waathirike kisaikolojia, ni mbinu ya kawaida dhidi ya mpinzani wako
 
MKUU ILE N NURU ILIWAANGAZIA YANGA UKIONA IMETOKEA SIKU NYNGINE TOKA TU UWANJANI HAKUNA MSHINDI
 
Mashabiki wa Mikia Muda wote wanawaza ushirikina!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…