Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha mchezaji Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr