Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

Kama kuna kaliba inaongoza kwa ushirikina basi soka iko namba za kwanza... Kuna wakati vinafanyika vitu vinavyoonekana ni vya kawaida lakini kiuhalisia vinafanywa kwa maagizo maalum
BTW uhalisia kwenye ushirikina ni 25% tu inayobaki yote ni uongo figisu na utapeli
 
Alikabidhiwa mikoba kwahiyo hakuwa na namna. Hiyo droo yenyewe sangoma kajitahidi.
 
Simba wanacheza school boy football..mwanzo mpaka mwisho aina moja ya mpira..#mtasukumwandani
 
Fair play
 
Kuna wale walio fanya yao Wakiwa Kambini...yaani siku moja kabla ya Mechi.

Tuanze na hawa kwanza....[emoji23][emoji23]

 
Umesahau msimu uliopita Mikia mlifanya hivyo hivyo kupiga mpira nje kufuata line ya nusu ya Uwanja?
 
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] Huyo mganga waliompata kiboko
Unakumbuka huu mzigo?

Nasikia alitakiwa avae Kiunoni kocha Omog..

Akaona noma akampa Ndiaye avae kiunoni...[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…