Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kama kuna kaliba inaongoza kwa ushirikina basi soka iko namba za kwanza... Kuna wakati vinafanyika vitu vinavyoonekana ni vya kawaida lakini kiuhalisia vinafanywa kwa maagizo maalumKwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr
BTW uhalisia kwenye ushirikina ni 25% tu inayobaki yote ni uongo figisu na utapeli