Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kunywa majiIli iweje sasa
Huu mwaka uko sahihi kweli?Flashback: mwaka 1936 Zidane alianzisha mpira kwa mkono.
Ningekukosa huku Mtani sio siri ningeandama. ππππKwa hii tabia yenu ya ulozi.. Hakyanani Ndala wote hamuendi mbinguni.
Hahahaaa. Hadi weye Swahiba unaamini. Lol.[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] Huyo mganga waliompata kiboko
FIRST TO HAPEN IN THE FIRST FIVE MINUTES
Corner Yes 2.25
Corner No 1.70
Goal Yes 3.45
Goal No 1.18
Goal Kick Yes 1.9
Goal Kick No 1.25
Throw In Yes 1.2
Throw in No 1.85
Penalty Yes 8.5
Penalt No 1.14
Angefanya kile kitendo Ulaya, simu yake na laptop yake zingeshikiliwa kwa muda ili kupisha uchunguzi.
Nadhani wawekezaji wenzangu mmeelewa lugha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningekukosa huku Mtani sio siri ningeandama. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We cheka tu Mtani.
Ila jana dada uliangalia mpira kweli?We cheka tu Mtani.
Maana ajibu kajua kuwavuruga hasaa. Teh teh teh.
Mzee babaMind games tu
Ndio ndio..halafu game haikuwekwa 1xbet sidhan kama alibet [emoji23] [emoji23]FIRST TO HAPEN IN THE FIRST FIVE MINUTES
Corner Yes 2.25
Corner No 1.70
Goal Yes 3.45
Goal No 1.18
Goal Kick Yes 1.9
Goal Kick No 1.25
Throw In Yes 1.2
Throw in No 1.85
Penalty Yes 8.5
Penalt No 1.14
Angefanya kile kitendo Ulaya, simu yake na laptop yake zingeshikiliwa kwa muda ili kupisha uchunguzi.
Nadhani wawekezaji wenzangu mmeelewa lugha
Mie tena Kaka naachaje kuangalia. ππππIla jana dada uliangalia mpira kweli?
Ndiyo nko huu upandeMie tena Kaka naachaje kuangalia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu sikuwa najua kumbe na weye uko upande wa Mikia. Duuuh.
Haya pole kwa ya jana.Ndiyo nko huu upande
Huna haja ya kunipa pole, kwa ule mpira sina shaka kabisa,, ila nyie kwa ule mpira wenu huu mwaka ushindi wenu ni droo tu,,Haya pole kwa ya jana.
Maana wana Simba wote leo mnaamini Shirki.
Huna shaka na nini Kaka?Huna haja ya kunipa pole, kwa ule mpira sina shaka kabisa,, ila nyie kwa ule mpira wenu huu mwaka ushindi wenu ni droo tu,,
Jana tuliwapakata sanaa
Ni suala la kucheza na saikolojia tu ya mpinzani wako. Ni suala la 'ushirikina' na kuna watu na wachezaji limewaathiri ingawa yawezekana kabisa Ajibu hana imani na hayo mambo ila aliambiwa afanye hivyo kuvuruga hali ya hewa ya upande wa pili na alifanikiwa.Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr
Una logic mkuu.Labda aliamua tu ili kuwaharibu mbumbumbu fc kisaikolojia (kama mnavyoamini ni kitendo cha kishirikina) moja kwa moja pengine kile kitendo kilisaidia kufnya wachezaji wa simba waathirike kisaikolojia, ni mbinu ya kawaida dhidi ya mpinzani wako