Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

FIRST TO HAPEN IN THE FIRST FIVE MINUTES

Corner Yes 2.25
Corner No 1.70
Goal Yes 3.45
Goal No 1.18
Goal Kick Yes 1.9
Goal Kick No 1.25
Throw In Yes 1.2
Throw in No 1.85
Penalty Yes 8.5
Penalt No 1.14

Angefanya kile kitendo Ulaya, simu yake na laptop yake zingeshikiliwa kwa muda ili kupisha uchunguzi.
Nadhani wawekezaji wenzangu mmeelewa lugha
 
Apo nmekuelewaaa..

Ndio ndio..halafu game haikuwekwa 1xbet sidhan kama alibet [emoji23] [emoji23]
 
Haya pole kwa ya jana.

Maana wana Simba wote leo mnaamini Shirki.
Huna haja ya kunipa pole, kwa ule mpira sina shaka kabisa,, ila nyie kwa ule mpira wenu huu mwaka ushindi wenu ni droo tu,,

Jana tuliwapakata sanaa
 
Huna haja ya kunipa pole, kwa ule mpira sina shaka kabisa,, ila nyie kwa ule mpira wenu huu mwaka ushindi wenu ni droo tu,,

Jana tuliwapakata sanaa
Huna shaka na nini Kaka?

Tusubiri marudiano ndio nitaliamini hili ulisemalo.

Pia niseme mpira ni matokeo na sio kupakatana. 😂😂😂 ukimpakata mtu na matokea yakawa hamna kitu hiyo ni sawa na bure Kaka. Yaani haina tofauti na kujichosha tu.
 
Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?

Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.

Je umekionaje? Mshana Jr
Ni suala la kucheza na saikolojia tu ya mpinzani wako. Ni suala la 'ushirikina' na kuna watu na wachezaji limewaathiri ingawa yawezekana kabisa Ajibu hana imani na hayo mambo ila aliambiwa afanye hivyo kuvuruga hali ya hewa ya upande wa pili na alifanikiwa.
 
Labda aliamua tu ili kuwaharibu mbumbumbu fc kisaikolojia (kama mnavyoamini ni kitendo cha kishirikina) moja kwa moja pengine kile kitendo kilisaidia kufnya wachezaji wa simba waathirike kisaikolojia, ni mbinu ya kawaida dhidi ya mpinzani wako
Una logic mkuu.
 
Back
Top Bottom