Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

Tatizo lako unawaza sana ushirikina Ghazwat ,hebu angalia fainali ya EUROPA msimu ulioisha kati ya Marseille vs Atletico Madrid
,alafua angalia Maseille walivyoanza mpira.
 
Attachments

Kaangalie mechi ya Europa league final kati ya Marseille vs Atletico Madrid utapata jibu
 
Sasa si wangemuomba refa awape simba waanze shida ipo wapi?mpaka wabutue nje?
Basi angelenga hata golini kwa simba alishindwa?
Masharti tu ya mganga.
WAANZE SIMBA..........................KUCHEZA
 
Sasa si wangemuomba refa awape simba waanze shida ipo wapi?mpaka wabutue nje?
Basi angelenga hata golini kwa simba alishindwa?
Masharti tu ya mganga.
SHILINGI ILIRUSHWA SO LAZIMA WAANZE WAO MKUU, ANYWAY MI MWENYEWE MSHABIKI WA SIMBA
 
Pale ref anapopuliza kipenga unaweza kuanza mpira hata kwa kichwa muhimu usijevunje kanuni ya mpira,kwaio ila ilikua ni kuchezana tu.
 
Sasa si wangemuomba refa awape simba waanze shida ipo wapi?mpaka wabutue nje?
Basi angelenga hata golini kwa simba alishindwa?
Masharti tu ya mganga.
Mpira ni sheria/kanuni huwa hamna kuomba, halafu kanuni huwa haibadilishwi

Mfano timu ifunge goli halafu iombe lisiwe goli

Au mchezaji apewe red card halafu mpinzani aombe mchezaji asamehewe asitolewe. HIYO KITU HAIPO.
 
Hahahaaa. Hadi weye Swahiba unaamini. Lol.

Na nyie mtafuteni. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Tatizo la mikia ni yule Mashahidi wa Yehova kutoka Mikindani a.ka Belgium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…