magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Chafyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Flashback: mwaka 1936 Zidane alianzisha mpira kwa mkono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chafyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Flashback: mwaka 1936 Zidane alianzisha mpira kwa mkono.
Upo mzeebaba....naona shemeji kakuficha sikuhiziMzee baba
Tatizo lako unawaza sana ushirikina Ghazwat ,hebu angalia fainali ya EUROPA msimu ulioisha kati ya Marseille vs Atletico MadridKwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr
Kaangalie mechi ya Europa league final kati ya Marseille vs Atletico Madrid utapata jibuKwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr
Kaumia nani?FAIR PLAY MKUU
WAANZE SIMBA..........................KUCHEZAKaumia nani?
WAANZE SIMBA..........................KUCHEZA
SHILINGI ILIRUSHWA SO LAZIMA WAANZE WAO MKUU, ANYWAY MI MWENYEWE MSHABIKI WA SIMBASasa si wangemuomba refa awape simba waanze shida ipo wapi?mpaka wabutue nje?
Basi angelenga hata golini kwa simba alishindwa?
Masharti tu ya mganga.
SHILINGI ILIRUSHWA SO LAZIMA WAANZE WAO MKUU, ANYWAY MI MWENYEWE MSHABIKI WA SIMBA
Unazi mwingine wa kitoto kweli kweli, hivi siio nyinyi mna rekodi za kudai points mezani?Wangefanya Simba tayari TFF washatumiwa barua na Yanga, Ila Simba hatuna habari nao
Taabu gani? Kupora point moja?Ko unavoona waliathirika au taabu ndo ilizidi?
Tutoe mpira nje afu tukabe....
Sisi leo ni kukabatu..... Naona ilikua ni sign kwamba wapo kuzuia.
Mpira ni sheria/kanuni huwa hamna kuomba, halafu kanuni huwa haibadilishwiSasa si wangemuomba refa awape simba waanze shida ipo wapi?mpaka wabutue nje?
Basi angelenga hata golini kwa simba alishindwa?
Masharti tu ya mganga.
😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛Kwa hii tabia yenu ya ulozi.. Hakyanani Ndala wote hamuendi mbinguni.
Tatizo la mikia ni yule Mashahidi wa Yehova kutoka Mikindani a.ka BelgiumHahahaaa. Hadi weye Swahiba unaamini. Lol.
Na nyie mtafuteni. 💃💃💃💃💃💃
Hahahaaa. Kumbee eeee?Tatizo la mikia ni yule Mashahidi wa Yehova kutoka Mikindani a.ka Belgium
Ndiooooooo! mikia wameleta Mashahidi wa Yehova eti kocha😡Mungu anawaona nyie viongozi wa mikia fcHahahaaa. Kumbee eeee?