Ni vita ya Kisaikolojia tu. Hamna zaidi ya hapo. Ilikuwa jibu kwa mtu wa Simba aliyepita na Chupa akimwaga vitu vyake.Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr
Hahahàa. Utani wa ngumi huu Mpekuzi. 😂😂😂Ndiooooooo! mikia wameleta Mashahidi wa Yehova eti kocha😡Mungu anawaona nyie viongozi wa mikia fc
Mkuu mzima weye
Ha ha ha haaaaaaaa haaaaaaaaHahahàa. Utani wa ngumi huu Mpekuzi. 😂😂😂
Mie Alhamdulillah sijui weye?
Asante mkuu kwa ufafanuzi kuntu..Lakini mpaka sasa kitendo cha Jana, giza linazidi kutanda anga la soka la bongo.Kama kuna kaliba inaongoza kwa ushirikina basi soka iko namba za kwanza... Kuna wakati vinafanyika vitu vinavyoonekana ni vya kawaida lakini kiuhalisia vinafanywa kwa maagizo maalum
BTW uhalisia kwenye ushirikina ni 25% tu inayobaki yote ni uongo figisu na utapeli
HahahaIlikua fair play
Tukio kama hilo lilifanyika kwenye mechi ya Europa league kati ya Atletico madrid vs marseille. Ambapo timu ya marseille walianza kwa kubutua mpira nje ili uwe wa kurusha.View attachment 42938527_2264046616998935_6781187498442752000_n.mp4Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?
Kitendo cha mchezaji Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.
Je umekionaje? Mshana Jr