Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

Kitendo cha Ajibu kuanza mpira kwa kupiga nje, kina maana gani?

Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?

Kitendo cha Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.

Je umekionaje? Mshana Jr
Ni vita ya Kisaikolojia tu. Hamna zaidi ya hapo. Ilikuwa jibu kwa mtu wa Simba aliyepita na Chupa akimwaga vitu vyake.
 
Hahahàa. Utani wa ngumi huu Mpekuzi. 😂😂😂

Mie Alhamdulillah sijui weye?
Ha ha ha haaaaaaaa haaaaaaaa
Alhamdulillah niko salama Hajar, haya nkutakie kazi njema za kutafuta chochote kitu cha kufaa familia.
 
jamaa alibeti first thing to happen throw in kashakula hela
 
Kama kuna kaliba inaongoza kwa ushirikina basi soka iko namba za kwanza... Kuna wakati vinafanyika vitu vinavyoonekana ni vya kawaida lakini kiuhalisia vinafanywa kwa maagizo maalum
BTW uhalisia kwenye ushirikina ni 25% tu inayobaki yote ni uongo figisu na utapeli
Asante mkuu kwa ufafanuzi kuntu..Lakini mpaka sasa kitendo cha Jana, giza linazidi kutanda anga la soka la bongo.
 
Ajibu ni Wa kimataifa,ile ni mbinu ya kuwavuruga simba kisaikolojia ambayo ameipata huko kimataifani. Na kwa bahati mbaya au nzuri alifanikiwa sana,ndio maana mleta mada hadi sasa unawaza hilo
 
Ibrahim Ajibu ali bet katika 1xbet option ya First To Happen From 0-59 seconds

Akachagua - Throw In na akatia mkwanja wa kutosha. Achunguzwe na Board ya Ligi kwa kucheza kamari.
 
ile kitu inamana mbili kimpira hakuna uchawi wala nini.....

1. Yanga walifanya vile ili simba adhani Yanga anatumia ushirikina ili Simba wawe ma inferiority complex.

2.mbinu hii ilitimika ili kufanya simba aanzishe mpira kwake ashambuliwe kwa kushtukiza afungwe maana wachezaji dakika za mwanzo huwa hawajajiandaa kwa ambush ..


Ya kwanza ilikubali ya pili ikagoma .....
 
Kwa style ile ya uanzishaji mpira wa kwanza kwa kuupiga nje, kina maana gani?

Kitendo cha mchezaji Ibrahim Ajibu kuanzisha mpira wa kwanza kwa kuupiga na kutoka nje, kimeshangaza wengi na kimezua sitofahamu ambapo kuna baadhi wakisema ni kitendo cha kawaida tu huku wengi wamekitafsiri kuwa ni kitendo cha kishirikina (uchawi) katika soka la bongo hasa mchezo wa Watani wa Jadi ulipigwa uwanja wa Taifa.

Je umekionaje? Mshana Jr
Tukio kama hilo lilifanyika kwenye mechi ya Europa league kati ya Atletico madrid vs marseille. Ambapo timu ya marseille walianza kwa kubutua mpira nje ili uwe wa kurusha.View attachment 42938527_2264046616998935_6781187498442752000_n.mp4
 
Mbumbumbu bwana!! Mbn msimu uliopita huko Europa final lilian thauvim alifanya kama ajibu??
 
Fikra zetu tunazielekeza maala potofu sana hivi tunaangalia mipira japo ya walioendelea japo kidogo???
Binafsi sipendi sana kujiaminisha Katika hizo kamati/fikra zenu pendwa za kishirikina.
1)Jmos tarehe 29/09/2018 nilishuudia mtanange Kati ya Chelsea v Liverpool,Katika mchezo ule mou Sarah alipata nafas zaid ya 3 alizobaki yeye na kipa ila alichokifanya kama ingekuwa Bongo basi Chelsea wachawi.
E hazard nae katika ubora wake alipata nafasi ya kubaki yeye na Allison Becker ila mpira alioupiga ukaokoelewa kwa miguu na kuwa kona ingekuwa bongo mmmhhh
Siku nne kabla ya jmosi hyo Liverpool walikuwa dimban anfield na hapo hao Chelsea Katika carabao cup na Liverpool alitolewa kwa kufungwa 1 - 2 but katika mchezo huo Dan sturridge alipata nafasi ambayo alimpiga kipa Chenga na kubaki yeye na nyavu lakini kilichotokea ni kupiga mpira nje. Ingekuwa bongo mmmhhh jirani mchawi
Lukaku pia aliwahi kukosa katika mazingira Kama ya Dan sturridge.
Pia nikirud hapa
Ndanda v SImba 0 - 0
Ndanda wachawi..
Mbao 1 v 0 Simba
Mbao wachawi
Biashara 0 v 3 Simba
Hakuna mchawi
Simba 0 v 0 Yanga
Yanga wachawi.......
 
Back
Top Bottom