LGE2024 Kitendo cha CHADEMA kufanya vizuri Vijijini kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Ishara Tundu Lissu anakubalika kuliko Mbowe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
naunga mkono na hapa kijijini petu,CHADEMA imepata kitongoji na mwenyekiti wa kitongoji

Na,kitongoji hiki ndipo anaishi mwenyekiti wa kata ccm ,na katibu wa tawi wa ccm
CHADEMA imepata 89 ccm 85 ...nimesafiri Mimi mwenyewe kwa gharama zangu kuja kuwa wakala tu wa mgombea wa CHADEMA

Nimejifunza mengisana , nimewambia wanachadema nitaiandaa ripoti niwajuze yaliyokuwa yanatokea

Kwasababu mwisho wa uchaguzi huu ni mwanzo wa uchaguzi 2029....nimesharudi kijiweni kwangu aliyesema mabasi ya tembee usiku shikamoo yangu pokea hata ni hayati
 
CDM ikiweka mikakati thabiti 2025 kwenye uchaguzi mkuu, ikiwa pamoja na kupata mawakala wenye misimamo ccm haiwezi kutoboa.

Zipo faulo nyingi zilizochezwa jana ambazo mwakani wakidhibitiwa hawataweza kuzicheza.
 
Moja ya changamoto nilizoshuhudia

1)vitisho Toka kwa wasimamizi(walimu), wanatisha mawakala kwangu waligonga mwamba kwangu(mwalimu wa kike hata nisahau maishani mwake na adhabu ya mwisho nikum-bandua nimemwahidi hivyo usiku wajana mwenyewe kaanza kunichatisha

-ujinga wa mawakala,hawana elimu juu ya usimamizi uchaguzi (vyama vya upinzani wanakazi ya kipekee ya kufanya

na ,nyingine nyingi
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Sasa tukusadieje mkuu,
 
Hahaha ccm akili zenu mbovu sana, yani mtu akitimiza majukumu yake kwenye nafasi yake, mnaitisha kikao cha dharura kumpandisha vyeo?

Mbona hamjaitisha kikao cha dharura kumtoa Samia uenyekiti wa ccm taifa apewe Dotto Biteko?

Yani mwanajeshi asiye na cheo akirudi toka vitani anakuwa Brigedia General?
 
Wewe ni mlemavu wa namna gani? Ni kipofu au kiziwi? Pole sana kwa hayo matatizo.

Kama hujasimliwa, ufahamu kuwa maeneo karibia yote ambayo uchaguzi ulifanyika kwa uhuru, na kulikuwa na wagombea wa CHADEMA, wameshinda kuanzia nafasi ya mwenyekiti, vitongoji hadi wajumbe.
Bila wagombea wa Chadema kuenguliwa na bila wizi na kura za kwenye mabegi Chadema ineshinda kwa kishindo uchaguzi huu, CCM walilijua hili ndiyo wakampa mkwe wa Samia jukumu la kuvuruga huu uchaguzi.
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Mbowe bado yupo sana.
 
Hahaha ccm akili zenu mbovu sana, yani mtu akitimiza majukumu yake kwenye nafasi yake, mnaitisha kikao cha dharura kumpandisha vyeo?

Mbona hamjaitisha kikao cha dharura kumtoa Samia uenyekiti wa ccm taifa apewe Dotto Biteko?

Yani mwanajeshi asiye na cheo akirudi toka vitani anakuwa Brigedia General?
CCM hawana akili
 
Kuna kijiji nilikuwa leo walielekeza jina kijiji kingine ili abaki ccm lakini wananchi wameweka kula za hapana ndo zimeongoza sasa bado kuna utata hapo
 
CCM ijitathimini kama kweli inaongoza nchi hii kwa haki.
Asante kanisa katoriki kwa tamko elekezi.
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Unaharibu. Mbowe na TL wote.wanajenga chama scha kuwafitinisha
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Wewe huwa unavihoja legelege, hakuna anayekuchukulia serious hapa jukwaani.
 
Safu hii hii iendelee hadi 2030 ili mwisho wa wizi wa kura tushuhudie namna zaidi 2025.
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Vijiji vya wapi? 🤣🤣
 
Wewe ni mlemavu wa namna gani? Ni kipofu au kiziwi? Pole sana kwa hayo matatizo.

Kama hujasimliwa, ufahamu kuwa maeneo karibia yote ambayo uchaguzi ulifanyika kwa uhuru, na kulikuwa na wagombea wa CHADEMA, wameshinda kuanzia nafasi ya mwenyekiti, vitongoji hadi wajumbe.
Unajidanganya Sana we mbumbumbu
 
Back
Top Bottom