LGE2024 Kitendo cha CHADEMA kufanya vizuri Vijijini kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Ishara Tundu Lissu anakubalika kuliko Mbowe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Utazaa watoto matahira ndo utajua ukilema ni mipango ya muumba.
Pumbavu mkubwa wewe
 
Hapakuwepo uchaguzi bali ulikuwepo uchafuzi.
 
Siku mkiacha kuamini kuwa siasa za nchi yetu ni maigizo,naamini mtaacha kuwachukia viongozi wenu au mtawachukia zaidi,maana hapo kinachofanyika ni kama hesabu za algebra kwenye sets ya kuna mnawaona wao ni chadema,act n.k. Ila amini wana muingiliano(intersect) wa moja kwa moja na hao ccm. Hivyo hao hawana uadui,ni mpango tu ili kuonyesha kuwa nchi ina demokrasia ya vyama vingi,amkeni ,fuatilieni na acheni kuumiza vichwa vyenu
 
Watashindaje wakati kura fake kibao zimeletwa na wasimamizi wenyewe au unajitoa ufahamu
Wafuasi wa chadema walikimbia na sanduku la Kura naona ili wamfurahishe supreme leader
 

Attachments

  • 20241127_181558.jpg
    107.8 KB · Views: 2
Naona kama chadema bila mbowe haiwezekani..imekaa hivo kwenye mindset za wengi wao na yeye mwenyewe..hawaamini wenzie, walio nje wanadhani Mkiti ndo anawezea presha za upinzani..hivyo anakuwa kama the only man in war
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…