LGE2024 Kitendo cha CHADEMA kufanya vizuri Vijijini kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Ishara Tundu Lissu anakubalika kuliko Mbowe!

LGE2024 Kitendo cha CHADEMA kufanya vizuri Vijijini kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Ishara Tundu Lissu anakubalika kuliko Mbowe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wewe ni mlemavu wa namna gani? Ni kipofu au kiziwi? Pole sana kwa hayo matatizo.

Kama hujasimliwa, ufahamu kuwa maeneo karibia yote ambayo uchaguzi ulifanyika kwa uhuru, na kulikuwa na wagombea wa CHADEMA, wameshinda kuanzia nafasi ya mwenyekiti, vitongoji hadi wajumbe.
Utazaa watoto matahira ndo utajua ukilema ni mipango ya muumba.
Pumbavu mkubwa wewe
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Hapakuwepo uchaguzi bali ulikuwepo uchafuzi.
 
Siku mkiacha kuamini kuwa siasa za nchi yetu ni maigizo,naamini mtaacha kuwachukia viongozi wenu au mtawachukia zaidi,maana hapo kinachofanyika ni kama hesabu za algebra kwenye sets ya kuna mnawaona wao ni chadema,act n.k. Ila amini wana muingiliano(intersect) wa moja kwa moja na hao ccm. Hivyo hao hawana uadui,ni mpango tu ili kuonyesha kuwa nchi ina demokrasia ya vyama vingi,amkeni ,fuatilieni na acheni kuumiza vichwa vyenu
 
Watashindaje wakati kura fake kibao zimeletwa na wasimamizi wenyewe au unajitoa ufahamu
Wafuasi wa chadema walikimbia na sanduku la Kura naona ili wamfurahishe supreme leader
 

Attachments

  • 20241127_181558.jpg
    20241127_181558.jpg
    107.8 KB · Views: 2
Naona kama chadema bila mbowe haiwezekani..imekaa hivo kwenye mindset za wengi wao na yeye mwenyewe..hawaamini wenzie, walio nje wanadhani Mkiti ndo anawezea presha za upinzani..hivyo anakuwa kama the only man in war
 
Back
Top Bottom