Naomba Clip Chris Brown akicheza Ngoma ya misomisondo au alipost video akaweka caption "me chasing away negative energy 2024"?Huyo Chris brown anacheza kila wimbo anaoskia hata wa misomosondo alishacheza sembuse huyo !!
Na hizi kashfa za Diddy kutinda nyusi za marinda ya watafutao umaarufu zitakuwa zimemuacha salama lejendari wetu?😀Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.
Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu likiwa ni kuonana na star mkubwa duniani wa muziki wa kufoka foka.
Ikumbukwe P. Diddy ni miongo mwa wasanii wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya nchi yake, achilia mbali utajiri alionao.
Kitendo cha Diamond Platinum kwenda kuonana nae nyumbani kwake hapo ndio milango zaidi ilifunguka kisha wasanii wakubwa kuanza kumfuatilia.
Kitendo cha Chris Brown kurekodi kipande cha wimbo wa Diamond na kukipost mtandaoni hakijaja kwa bahati mbaya, ni juhudi za Diamond kufunga safari kwenda nyumbani kwa P. Diddy. Waswahili wanasema safari moja huanzisha safari nyingine.
Hongera Diamond naamimi kuna remix ya Komasava ft Chris Brown.
Pia soma:
mapenzi yako kwa Diamond yasikugeuze mbuni kuficha kichwa matakoni,Hizi ndio akili za watanzania alafu baadae mnawapigia kelele CCM
Wewe mwenye akili mbona hujawatoa madarakani🤣🤣Kwa akili hiyo ulionayo wacha CCM waendelee kuwa madarakani
Acha tu🙌🙌Aisee ila bongo, hivi hiki ni kitu kikubwa kiasi hicho??
😀😀😀😀😀Ni kweli ulichosema sema mafanilio hayakufuati, lakini kuyafuata pia inategemea unayafuata wapi,
P DIDY ana mambo ya hovyo akikualika kwake hutoki kama ulivyoingia
Wasanii kibao wamepost ati chriss kacheza komasava, media zimelicover hilo tukio kama ni la ajabu mno.Acha tu🙌🙌
Kaingia mkataba mzito wa kuhakikisha anaiharibu jamiiPlatnamz ni miongoni mwa vijana wa kizazi hiki wanaofanya mambo makubwa
inasemekana Diddy alimtatua linda mtayarishaji wa muziki in exchange amsaidie kusinda tuzo Grammy, Mtayarishaji huyo hakuhinda tuzo akawa analalamika hana marinda.Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.
Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu likiwa ni kuonana na star mkubwa duniani wa muziki wa kufoka foka.
Ikumbukwe P. Diddy ni miongo mwa wasanii wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya nchi yake, achilia mbali utajiri alionao.
Kitendo cha Diamond Platinum kwenda kuonana nae nyumbani kwake hapo ndio milango zaidi ilifunguka kisha wasanii wakubwa kuanza kumfuatilia.
Kitendo cha Chris Brown kurekodi kipande cha wimbo wa Diamond na kukipost mtandaoni hakijaja kwa bahati mbaya, ni juhudi za Diamond kufunga safari kwenda nyumbani kwa P. Diddy. Waswahili wanasema safari moja huanzisha safari nyingine.
Hongera Diamond naamimi kuna remix ya Komasava ft Chris Brown.
Pia soma:
Kijana anajitafutia utajiri na maisha mazuri, jamii imeshajiharibu yenyeweKaingia mkataba mzito wa kuhakikisha anaiharibu jamii
🤣🤣🤣🤣🤣We jamaa weee acha kabisa usije kuwaponza wasanii wetu, alichofanyiwa Rais wa Tandale na bwana yule inatosha mana masifa sifa sasa hivi mnashangaa Marioo huyo nae kwa Diddy kupewa" baraka" acheni hizo msiponze vijambio vya wasanii wetu jamani
Hivi mnajua balaa la P. Diddy? Mnafuatilia hata kinachoendelea huko mitandaoni? [emoji848]
P. Diddy ana skendo zake Diamond anakwenda mfata huyo jamaa ili iweje amfundishe kula viboga? [emoji848]
Mmmmmmhmn
Ile colabo ya Monalisa, chriss brown aliua mbayaa sana kwenye ile amapiano