Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

inasemekana Diddy alimtatua linda mtayarishaji wa muziki in exchange amsaidie kusinda tuzo Grammy, Mtayarishaji huyo hakuhinda tuzo akawa analalamika hana marinda.

Diddy kuulizwa akasema kuhusu suala hilo hawezi kukubali au kukataaa.

Hawa wasanii wanaojipeleka kwa Diddy wa kwanza Burna Boy, Diamond na wengine nabet watakuwa ni marindaless.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.

Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu likiwa ni kuonana na star mkubwa duniani wa muziki wa kufoka foka.

Ikumbukwe P. Diddy ni miongo mwa wasanii wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya nchi yake, achilia mbali utajiri alionao.

Kitendo cha Diamond Platinum kwenda kuonana nae nyumbani kwake hapo ndio milango zaidi ilifunguka kisha wasanii wakubwa kuanza kumfuatilia.

Kitendo cha Chris Brown kurekodi kipande cha wimbo wa Diamond na kukipost mtandaoni hakijaja kwa bahati mbaya, ni juhudi za Diamond kufunga safari kwenda nyumbani kwa P. Diddy. Waswahili wanasema safari moja huanzisha safari nyingine.

Hongera Diamond naamimi kuna remix ya Komasava ft Chris Brown.

Pia soma:
Unataka kusema nini don't run around the bush be straight mkuu.
 
Mwenzako alifukuriwa mtaro na Diddy
 
P diddy kabisa yani huyuhuyu wa Meek Mill?!!!
 
Attachments

  • 20240621_015551.jpg
    20240621_015551.jpg
    106.8 KB · Views: 9
Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.

Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu likiwa ni kuonana na star mkubwa duniani wa muziki wa kufoka foka.

Ikumbukwe P. Diddy ni miongo mwa wasanii wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya nchi yake, achilia mbali utajiri alionao.

Kitendo cha Diamond Platinum kwenda kuonana nae nyumbani kwake hapo ndio milango zaidi ilifunguka kisha wasanii wakubwa kuanza kumfuatilia.

Kitendo cha Chris Brown kurekodi kipande cha wimbo wa Diamond na kukipost mtandaoni hakijaja kwa bahati mbaya, ni juhudi za Diamond kufunga safari kwenda nyumbani kwa P. Diddy. Waswahili wanasema safari moja huanzisha safari nyingine.

Hongera Diamond naamimi kuna remix ya Komasava ft Chris Brown.

Pia soma:
"..........milango zaidi ilifunguka.........."

unamaanisha kusema MILANGO ZAIDI ILIFUNGULIWA?
 
Makao makuu ya majungu Duniani ni Tanzania. Kama kungekuwa na mashindano ya majungu kule Michezo ya Olympics na sisi tungepata medali.
 
Back
Top Bottom