Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

Kitendo cha Diamond Platnums kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.

Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu likiwa ni kuonana na star mkubwa duniani wa muziki wa kufoka foka.

Ikumbukwe P. Diddy ni miongo mwa wasanii wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya nchi yake, achilia mbali utajiri alionao.

Kitendo cha Diamond Platinum kwenda kuonana nae nyumbani kwake hapo ndio milango zaidi ilifunguka kisha wasanii wakubwa kuanza kumfuatilia.

Kitendo cha Chris Brown kurekodi kipande cha wimbo wa Diamond na kukipost mtandaoni hakijaja kwa bahati mbaya, ni juhudi za Diamond kufunga safari kwenda nyumbani kwa P. Diddy. Waswahili wanasema safari moja huanzisha safari nyingine.

Hongera Diamond naamimi kuna remix ya Komasava ft Chris Brown.


Pia soma:
Kwa hio P Diddy kachangangia Komasava kujulikana
 
Ukiamua kumtumikia shetani, unamtumikia mazima.
Ile kauli "mtumikie kafiri upate mtaji wako" aliielewa vyema
 
Back
Top Bottom