Ni kweli IGP huwezi kuongelea mambo kama vile wewe ni mahakama. Kesi ikishaenda mahakamani inatakiwa kufuata utaratibuWote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema...
Huku mitandaoni unajitahidi kupambana,hongera,lakini tambua mnapoteza muda,ushahidi upo this time DJ Mbowe is gone,andaeni mwenyekiti mwingineTutapambana nao hadi tone la mwisho
tatizo ni kuwa mnapambania waopi kama ni hapa jf hongereni sana mtashindaTutapambana nao hadi tone la mwisho
Sirro aliuliza upambane na serikali,wewe ni nani ? Na alisisitiza kuwa hakuna hiyo nafasi.Tutapambana nao hadi tone la mwisho
Ila ya Sabaya ilipojadiliwa kwenye vijiwe bado haijawa VOID sio? Au kisa anaejadiliwa hapa ni Mbowe?Kwenye nchi ya watawala walio wastarabu wanaofuata misingi ya haki na sheria tayari kesi hii ni VOID.
Kunywa maji mkuu..!Nina hasira sana, Mungu anisaidie
Kuunda njama na vijana wa waliofukuzwa jeshini nayo ni madai ya katiba sio?Taratibu ni kuulize...Hivi mtu anaedai haki yake..Katiba siku hizi ni kuleta fujo?
Hivi kumbe ata Mwl.Nyerere alikua anavuruga amani kwa kuwapinga Makaburu!?
Muda karibu unafika bado kidogo sana unadhani watu wataendelea kukaa kwenye key board tuunapambania kwenye keyboard ? nenda front tuone
siyo rahisi kama unavyofikiria kama mdude ameshatulizwa itakuwa wewe?Muda karibu unafika bado kidogo sana unadhani watu wataendelea kukaa kwenye key board tu
kwa sasa wacha Mbowe apambane na hali yake.Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema...
Kila mtu anamnyonge wake ,igp hana watoto ,hana mke ,muda ukifika Kila mtu atapata uchungu tusiombee taifa lifike huko tendeni haki ,haki huinua taifasiyo rahisi kama unavyofikiria kama mdude ameshatulizwa itakuwa wewe?
Nani alimhukumu sabaya? can you prove your allegations?Mlivyomuhukumu Sabaya!?
Mkuki kwa nguruwe,kwa nyumbu...
I hope Samia bado hajaichafua/pollute judiciary and justice will be served...Kama vyama vya siasa na makundi mengine nao wakisema wanao ushahidi wa kutosha kuhusu Mheshimiwa Mbowe kama anavyosema IGP Simon Sirro kuwa anao ushahidi wa kutosha; ni nani atakuwa anaiingilia Mahakama katika kesi hiyo?...
I hope Samia bado hajaichafua/pollute judiciary and justice will be served...