Ni kweli IGP huwezi kuongelea mambo kama vile wewe ni mahakama. Kesi ikishaenda mahakamani inatakiwa kufuata utaratibuWote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo.
Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo mahakamani , kama yeye Sirro alivyo na maslahi binafsi kwenye kesi hii , lakini ameamua kupuuza ili kumrahisishia maamuzi hakimu wao wanayemtumia kumkomoa Mbowe na Chadema...