Kitendo cha Irani kusema wanataka Mazungumzo kimeniudhi sana hawa Israel na Usa ni wetu kabisa hawa

Kitendo cha Irani kusema wanataka Mazungumzo kimeniudhi sana hawa Israel na Usa ni wetu kabisa hawa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hawa Makafir tumeshawaweza tunataka mazungumzo ya nini nao? Tuendelee tu kupambana nao Irani inaenda kuwa Taifa kubwa Duniani. Marekani na Israel kwisha habari yao. Wameishiwa mabomu.

Wao walikuwa wanalipua michoro na matoy tu. Lakini silaha zenyewe sisi tunazo hatujatumia hata asilimia 1. Sasa watakiona cha moto hao magaidi.


​
 
Sasa wa ajemi wenyewe wamekubali huu mziki hawauwezi wanaanza kulegeza wewe uko Kisiju kasikazini unataka ukawakazie.

Israel anapigana vita miaka na miaka huyu mu Iran hakuna anachoweza kufanya. Tupo hapa
Mashabiki wa Iran hawawezi kukuelewa, US na Israel kila mwaka wapo vitani.
 
Back
Top Bottom