Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
ujuwaji mwingi ni ujinga ndio unawaponza.
wapo wanao jua zaidi yake lkn wanatumia busara zaidi kuliko Kiburi na madharau.
Jua tofauti kati ya utovu wa nidhamu na nidhamu ya uoga ambayo imejaza madudu washa uko kwenye ubongo wako
Wewe ni Lumpen tu...nafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
Mkiambiwa ukweli huwa mnazingizia udini na ukabila.Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
AbayangoHuo Ndiyo uthubutu wa sisi Abayango na Abayangokazi. We call spade a spade. We don't malinate with ice sugar. Brava Dada Stelah!!
Punguza uchawa kijana. Mamlaka iliyo juu na haipaswi kukosolewa ni mamlaka ya Kimbingu tu! Kama umetumwa peleka kamasi zako ulizojaza kichwani kwa chawa wenzako huko Uvccm. Hili jukwa tunajadili hoja na siyo personality ya mtu!ujuwaji mwingi ni ujinga ndio unawaponza.
wapo wanao jua zaidi yake lkn wanatumia busara zaidi kuliko Kiburi na madharau.
Huyo ni msomi asiye mnafiki. Anajua anachokifanya. Hakuna alichokosea. Yupo sahihi kabisa.Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Mamlaka yoyote ya kibanaadamu inapaswa kukoselewa ila mimi nimeuliza namna au njia aliyo tumia Jaji Mugasha kukosoa kwa kuandika barua na kunakilisha na kisha kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali je huo sio utovu wa maadili?Punguza uchawa kijana. Mamlaka iliyo juu na haipaswi kukosolewa ni mamlaka ya Kimbingu tu! Kama umetumwa peleka kamasi zako ulizojaza kichwani kwa chawa wenzako huko Uvccm. Hili jukwa tunajadili hoja na siyo personality ya mtu!
Hiyo mamlaka ya Hangaya ililiomba jopo la majaji ushauri? Simple logic tu, ni kuwa hakuna mchakato wowote uliowashirikisha hao majaji kutoa ushauri. Au shule ulienda kujifunza kuvuka barabara nini?Mamlaka yoyote ya kibanaadamu inapaswa kukoselewa ila mimi nimeuliza namna au njia aliyo tumia Jaji Mugasha kukosoa kwa kuandika barua na kunakilisha na kisha kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali je huo sio utovu wa maadili?
Kumbuka Jaji Mugasha ni kiongozi pia, na anaweza kumshauri hata Jaji Mkuu aliye ongezewa muda kwanini hajatumia nafasi hiyo?
yeye ndiye mwandishi na mmiliki wa barua aliyo iandika, unadhani nani mwengine aliye isambaza barua hiyo? hawezi kukwepa labda akanushe kuwa sio baru yake.

Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Haswaaa!!Wewe utakuwa UVCCM tu
Usitake tujenge taifa la wajinga. Baba wa Taifa alikataa ujinga huo unaotaka tuufuate wewe zandranonafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
usikurupuke.Usitake tujenge taifa la wajinga. Baba wa Taifa alikataa ujinga huo unaotaka tuufuate wewe zandrano View attachment 2671466
Nipe kifungu cha Katiba au sheria yeyote inayoonyesha kuwa Jaji Stella Mugasha amekosea kuwakilisha ushauri wake kwa njia aliyotumia.usikurupuke.
elewa nilicho kisema.
narudia tena, nimesema;
akiwa kama Jaji anayo nafasi ya kuishauri mamlaka kwa njia sahihi bila kusambaza mabarua kwenye media.