Kitendo cha Jaji Mugasha kukosoa mamlaka hadharani ni utovu wa nidhamu, sio ushujaa

ujuwaji mwingi ni ujinga ndio unawaponza.
wapo wanao jua zaidi yake lkn wanatumia busara zaidi kuliko Kiburi na madharau.

Hao wanaojua zaidi yake wameisaidia nini hii nchi?
Shida ya tz mtumishi haruhusiwi kukosoa mamlaka kwa namna yoyote ile, but anafanya sababu ni right yake ya kisheria kama mwananchi wa tanzania.

Just because ni muajiriwa wa rais haimaanishi asikosoe , si wote ni watu wanafki na kujikusanya
 
nafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
Wewe ni Lumpen tu...
Huyo mama sio level yako...ukiambiwa hata uandike barua ya kiofisi huwezi sasa unaongea nini...
Soma tena hii takataka ulioandika...baada ya full stop umeanza na herufi ndogo alafu ndio umkosoe huyu Jaji?...naamini hata ile document yake huwezi kuielewa...
 
Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.

Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.

tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!

kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.

Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.

Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?

wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.

mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?

Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Mkiambiwa ukweli huwa mnazingizia udini na ukabila.

Stella amepasua bomu hataki ujinga.

Tena stela ikiwezekana 2025 ajaze fomu.

Tunahitaji mwanamke wa aina hii sio wa kusaini kila kitu bila kukisoma na kukielewa.
 
ujuwaji mwingi ni ujinga ndio unawaponza.
wapo wanao jua zaidi yake lkn wanatumia busara zaidi kuliko Kiburi na madharau.
Punguza uchawa kijana. Mamlaka iliyo juu na haipaswi kukosolewa ni mamlaka ya Kimbingu tu! Kama umetumwa peleka kamasi zako ulizojaza kichwani kwa chawa wenzako huko Uvccm. Hili jukwa tunajadili hoja na siyo personality ya mtu!
 
Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.

Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.

tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!

kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.

Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.

Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?

wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.

mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?

Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Huyo ni msomi asiye mnafiki. Anajua anachokifanya. Hakuna alichokosea. Yupo sahihi kabisa.
 
Punguza uchawa kijana. Mamlaka iliyo juu na haipaswi kukosolewa ni mamlaka ya Kimbingu tu! Kama umetumwa peleka kamasi zako ulizojaza kichwani kwa chawa wenzako huko Uvccm. Hili jukwa tunajadili hoja na siyo personality ya mtu!
Mamlaka yoyote ya kibanaadamu inapaswa kukoselewa ila mimi nimeuliza namna au njia aliyo tumia Jaji Mugasha kukosoa kwa kuandika barua na kunakilisha na kisha kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali je huo sio utovu wa maadili?

Kumbuka Jaji Mugasha ni kiongozi pia, na anaweza kumshauri hata Jaji Mkuu aliye ongezewa muda kwanini hajatumia nafasi hiyo?
 
Ila mamlaka kufanya wanavyojisikia ndo nidhamu hiyo sio??
Akili za njaa hizi
 
Mamlaka yoyote ya kibanaadamu inapaswa kukoselewa ila mimi nimeuliza namna au njia aliyo tumia Jaji Mugasha kukosoa kwa kuandika barua na kunakilisha na kisha kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali je huo sio utovu wa maadili?

Kumbuka Jaji Mugasha ni kiongozi pia, na anaweza kumshauri hata Jaji Mkuu aliye ongezewa muda kwanini hajatumia nafasi hiyo?
Hiyo mamlaka ya Hangaya ililiomba jopo la majaji ushauri? Simple logic tu, ni kuwa hakuna mchakato wowote uliowashirikisha hao majaji kutoa ushauri. Au shule ulienda kujifunza kuvuka barabara nini?
 
yeye ndiye mwandishi na mmiliki wa barua aliyo iandika, unadhani nani mwengine aliye isambaza barua hiyo? hawezi kukwepa labda akanushe kuwa sio baru yake.

In this age of social media, ni kitu gani utapost watu washindwe ku copy na kupost wanapojua?
Unaandika as if bado tunaishi 1960s, wake up man
 
Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.

Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.

tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!

kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.

Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.

Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?

wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.

mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?

Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?

waTanzania tuzidi kupambana, safari ni ndefu na ngumu. Ni dhahiri kabisa elimu tunayowapa watu wetu ni dhaifu na hawasaidii kujitambua na kulisaidia taifa Lao. Imagine huyu ni mwanao au Baba yako ana mawazo kama haya. Kama familia mtatoboa kweli?
 
Sa100 anavunja katiba wazi wazi halafu unataka washauri wa mshauri mafichoni,acha nao wamshauri waziwazi,nyambafu
 
nafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
Usitake tujenge taifa la wajinga. Baba wa Taifa alikataa ujinga huo unaotaka tuufuate wewe zandrano
Screenshot_20230628_112710_Google.jpg
 
usikurupuke.
elewa nilicho kisema.
narudia tena, nimesema;
akiwa kama Jaji anayo nafasi ya kuishauri mamlaka kwa njia sahihi bila kusambaza mabarua kwenye media.
Nipe kifungu cha Katiba au sheria yeyote inayoonyesha kuwa Jaji Stella Mugasha amekosea kuwakilisha ushauri wake kwa njia aliyotumia.
 
Back
Top Bottom