Kitendo cha jana uwanja wa Taifa kujaa kupita uwezo wake ni Hatari

maisha ni hesabu

ili urudishe gharama za vinywaji vya nusu bei,lazima uwe na plan B

Mungu Ibariki Tanzania
 

Wazo zuri lakini wahuni wangeipiga mawe baada ya kukosa nafasi ndani ya uwanja!
 
Watu wa JF mimi siwaelewagi, kuna watu walibeza sana ujenzi wa uwanja wa mpira pale Dodoma ambao utakua na uwezo wa kuchukua watu 85 elfu, waliongea mengi kupita kiasi kwamba serikali inapoteza pesa ya nchi kwa kujenga uwanja mkubwa namna hio ambao hata watu watakua hawajai, sasa mmeuona mfano wa jana? Tunatakiwa tuwe tunaona mbali tusibeze kila jambo jema ambalo serikali inataka kulifanya.
 
J
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…