Hoffman degradation
Member
- Jan 29, 2017
- 61
- 66
One of those sad things. Eventually what we do and take as normal things, end up going in the holy places. Ndio maana hata ushoga wapo wanaoona ni kitu sawa akiwemo askofu Desmond TutuNatumaini mpo salama ndgu zangu wa Wana JF....,Leo Katika mitandao ya kijamii,zimesambaa picha za JOTI AKIWA kanisani akiharalisha jiko na kuliweka ndani,hapa Nampa pongezi.
Ila Huyu bwana harusi kichwani alinyoa MTINDO aina ya kiduku....Sasa nauliza KANISA KUFUNGISHA NDOA YA Mtu alionyoa MTINDO WA KIHUNI NI SAHIHI??
Au Kanisa haliangalii sana suala la maadili.??
===View attachment 619273wabobezi wa masuala ya kidini nielemisheni pengine nipo giza juu ya maadilu===
Mambo ya Walawi 19:27weka andiko kiBiblia kuthibitisha huo mtindo wa kihuni! Hayo ni mapokeo tu ndugu. Kwa USA na jamaica unaweza kukutana na pastor amesuka dread lakini kwa Tanzania ni ishara ya uhuni, sasa mfano kama huu una uhusiano wowote na andiko la biblia?
Umeenda mbali mkuu. Ushoga si halali bali kuwa nyanyapaa sijambo jemaOne of those sad things. Eventually what we do and take as normal things, end up going in the holy places. Ndio maana hata ushoga wapo wanaoona ni kitu sawa akiwemo askofu Desmond Tutu
Kumbe ni mambo ya walawi..nikajua ya watanzaniaMambo ya Walawi 19:27
Law 19:27
Sijanyanyapaa....ukweli wa Mwenyezi Mungu haujipingi. Uko wazi. Hajaruhusu jinsia moja kufanya mapenzi. Kwanini watu wanapeleka hizo takataka holy places?Umeenda mbali mkuu. Ushoga si halali bali kuwa nyanyapaa sijambo jema