Kitendo cha Katibu Mkuu kujiuzulu udhaifu upo kwa Mwenyekiti

Unapopewa mamlaka makubwa lakini husikilizwi au kupewa heshima yako na watu wa chini yako, hayo mamlaka hayana maana yoyote kwako.
Makonda aliisha Ibaka nafasi ya katibu mkuu
 
Chongolo ametuonyesha njia.
 
Ahsante 👏🏿. Umemaliza.
 
Ana skendo gani mkuu
 
Yangu Macho... I have nothing to hide.... kitu namiliki ni kengele zangu tu... waparuane... wauane... shauri yao...
 
Mbona unamhukumu mtu bila ushahidi.Kwa nini usiamini kuwa Kuna watu wameamua kutengeneza vitu ili kuharibu sifa ya Chongolo? Kwa nini usiamini kuwa hizi ni siasa tu?. Why now? Watu wengine wanahoja kwa nini baadae ya aliyekuwa RC kupewa cheo na haya yanatokea ukingatia uhusiano mbovu wa Hawa wawili toka kipindi Cha nyuma? Hayo yanahitaji kuwa prove to the contrary ili kutoa hukumu.Who is to benefit from this amputated incident.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…