Kitendo cha Katibu Mkuu kujiuzulu udhaifu upo kwa Mwenyekiti

Chati zake na kimada wake zimevuja ,,katibu kamtumia dushe lake kimada[emoji23][emoji23]View attachment 2829124View attachment 2829125View attachment 2829126
20231130_072440.jpg
20231130_073049.jpg
20231130_073046.jpg
20231130_072449.jpg
 
Kwa uchache Sana,

Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.

Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya kikatiba? Hao si balaa tupu.

Mpaka haya yanat okea ni kweli wewe ulikuwa hujui pamoja na kwamba unazungukwa na vyombo vya kila aina . Watu wa aina hii ya katibu mkuu wapo wengi mno na unawaangali tu.

Huna muda kabisa. Watanzania wanalia kila mara kuhusu changamoto lukuki lakini umewaatamia watu wa namna hii mpaka wenyewe wanaona aibu na kuamua kuachia ngazi.

Sawa lakini nature itaamua kwa muda sahihi. Ngoja niishie hapa
Chongolo ametuonyesha njia.
 
Ccm inamiliki Tanzania yote ikiwemo vyombo vyote vya ulinzi na usalama bila kusahau tume ya uchaguzi.

Ccm huwa ni mshindi hata kabla ya kupigwa kura iwe raia wapende au wasipende.

Sasa hiyo mipango ni ya nini tena?...au wanahalalisha tu posho za vikao?
Ahsante 👏🏿. Umemaliza.
 
Kwa uchache Sana,

Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.

Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya kikatiba? Hao si balaa tupu.

Mpaka haya yanat okea ni kweli wewe ulikuwa hujui pamoja na kwamba unazungukwa na vyombo vya kila aina . Watu wa aina hii ya katibu mkuu wapo wengi mno na unawaangali tu.

Huna muda kabisa. Watanzania wanalia kila mara kuhusu changamoto lukuki lakini umewaatamia watu wa namna hii mpaka wenyewe wanaona aibu na kuamua kuachia ngazi.

Sawa lakini nature itaamua kwa muda sahihi. Ngoja niishie hapa
Ana skendo gani mkuu
 
Yangu Macho... I have nothing to hide.... kitu namiliki ni kengele zangu tu... waparuane... wauane... shauri yao...
 
Kwa uchache Sana,

Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.

Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya kikatiba? Hao si balaa tupu.

Mpaka haya yanat okea ni kweli wewe ulikuwa hujui pamoja na kwamba unazungukwa na vyombo vya kila aina . Watu wa aina hii ya katibu mkuu wapo wengi mno na unawaangali tu.

Huna muda kabisa. Watanzania wanalia kila mara kuhusu changamoto lukuki lakini umewaatamia watu wa namna hii mpaka wenyewe wanaona aibu na kuamua kuachia ngazi.

Sawa lakini nature itaamua kwa muda sahihi. Ngoja niishie hapa
Mbona unamhukumu mtu bila ushahidi.Kwa nini usiamini kuwa Kuna watu wameamua kutengeneza vitu ili kuharibu sifa ya Chongolo? Kwa nini usiamini kuwa hizi ni siasa tu?. Why now? Watu wengine wanahoja kwa nini baadae ya aliyekuwa RC kupewa cheo na haya yanatokea ukingatia uhusiano mbovu wa Hawa wawili toka kipindi Cha nyuma? Hayo yanahitaji kuwa prove to the contrary ili kutoa hukumu.Who is to benefit from this amputated incident.
 
Back
Top Bottom