Kitendo cha kumrudisha mzee Wassira kwenye siasa za majukwaani ni dhahiri hata CCM inahitaji reforms

Kitendo cha kumrudisha mzee Wassira kwenye siasa za majukwaani ni dhahiri hata CCM inahitaji reforms

A view to a kill

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
2,213
Reaction score
1,272
CCM twende na wakati ,kila nyakati na watu wake na changamoto zake, kijana wa 1960s sio wa kijana wa leo, wengi wameenda shule na wanajua kinachoendelea duniani,
 
Kupata vichekesho zaidi kama hivi na vingine vingi bonyeza Fisiem #NRNE
 
Ndio maana kamati kuu CHADEMA Haina wazee Wala wanawake.
Lazima twende na wakati.
 
Back
Top Bottom