Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao

Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao

hii mada nzima ni useless alishasema hataongeza hata dakika moja ofisini sasa nashangaa mnarudia rudia the same
Of course ndio hivyo.

Tukikaa kimya wakati washaanza kujadili bungeni inawezapelekea na yeye akabadili mtazamo.

People change.
 
Katiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo......Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Ukiwa ndebile, kila kitu kinakuwa hakijatimia.
 
Katiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo......Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Akili ya ng'ombe hii Mr Ndebile . Masilahi mapana !!!
 
kuna nyumbu za kijani lazima zitashangilia hata kama jiwe akiongezewa miaka 10 mbele,, nchi hii ujinga uko damuni,
 
Of course ndio hivyo.

Tukikaa kimya wakati washaanza kujadili bungeni inawezapelekea na yeye akabadili mtazamo.

People change.

Hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm
 
hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm
Ndio itakuwa hivyo.

Ila akipata washauri wabaya ambao wanatanguliza tumbo lao. Inawezekana na tukiendelea kukaa kimya pindi hoja hizi zinaibuliwa anaweza dhani hakuna shida.
Na kuamua kuchagua kukubaliana na kina Deo.
 
Kuna watu walitabairi kuongezwa muda.. wanaweza kuwa watabiri wazuri. Ila mwenyewe alikataa hilo

Hata Kagame mwanzo alikuwa anajifanya hataki, lakini hadi leo yuko madarakani.

Kwa hapa kwetu naona atajiongezea kirahisi, na iwapo ataona watu kupinga wazi wazi, tegemea kuona lile kundi la watu wasiojulikana akiliagiza kuendelea na awamu ya pili kunyamazisha mpiga kelele yoyote.
 
Ndio itakuwa hivyo.

Ila akipata washauri wabaya ambao wanatanguliza tumbo lao. Inawezekana na tukiendelea kukaa kimya pindi hoja hizi zinaibuliwa anaweza dhani hakuna shida.
Na kuamua kuchagua kukubaliana na kina Deo.

Possibilities are very low, hata mm itakua mwisho wangu kua upande wa ccm! ni heri hata chama kipya kianzishwe
 
Amini nakwambia hakuna kitakachotokea kwa sisi watanzania,TUNAENDELEA KUCHAPA KAZI
 
hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm

Ccm sio wamoja, kinachowaunganisha ni maslahi ya matumbo yao. Kama anaweza kupata kura 100% bila hata kura moja kumpinga au kuharibika watafanya nini? Ingekuwa wanaccm ni wasafi wangeweza kuwa na msimamo, ila karibia wote ni wachafu, na wale wasafi wanamuogopa vibaya sana.
 
possibilities are very low, hata mm itakua mwisho wangu kua upande wa ccm! ni heri hata chama kipya kianzishwe

Kama anaweza kuchezea chaguzi za nchi nzima na wanaccm mko kimya, akiongeza mtamfanya nini? Kimsingi hahitaji kura hata moja kukaa madarakani, anahitaji jeshi tu linalotii anacholiagiza.
 
Hii mada nzima ni useless alishasema hataongeza hata dakika moja ofisini, sasa nashangaa mnarudia rudia the same.

Huyo Deo Sana hakusikia hayo maneno yake mpaka anaongea hayo bungeni na spika akakaa kimya?
 
Ccm sio wamoja, kinachowaunganisha ni maslahi ya matumbo yao. Kama anaweza kupata kura 100% bila hata kura moja kumpinga au kuharibika watafanya nini? Ingekuwa wanaccm ni wasafi wangeweza kuwa na msimamo, ila karibia wote ni wachafu, na wale wasafi wanamuogopa vibaya sana.

Shida ni kwamba ukipima ccm alafu ukapima na upande wa nje unaona bora mara mia ccm, ccm tatizo lao kubwa kabisa ni upigaji lakini ni watu wanaofanya maamuzi.
 
Katiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo. Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Kwani msahafu ndio hauwezi kubadilika? Acha ujinga
 
hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm
Mpasuko gani huo ?, kwa CCM ilivyo sasa ni ndoto za mchana.

Ni sisi kujipanga na tuanze mapema kutaka mabadiliko ya katiba. Tusisubiri imebaki miezi 6 kufika uchaguzi ndio tunaongeza jitihada ya kutaka mabadiliko.
 
Kama anaweza kuchezea chaguzi za nchi nzima na wanaccm mko kimya, akiongeza mtamfanya nini? Kimsingi hahitaji kura hata moja kukaa madarakani, anahitaji jeshi tu linalotii anacholiagiza.

tuprotest then whats next? nan ambae kweli anaweza kufumua kila kitu na kuweka base nzuri? mbowe?
 
Mpasuko gani huo ?, kwa CCM ilivyo sasa ni ndoto za mchana.

Ni sisi kujipanga na tuanze mapema kutaka mabadiliko ya katiba. Tusisubiri imebaki miezi 6 kufika uchaguzi ndio tunaongeza jitihada ya kutaka mabadiliko.

nyie hamuelewi kitu kimoja, ukitoa kwamba kuna watu wapo ccm na kuna wengine wapo chadema kiujumla wote ni binadam wakiwa katika mavazi tafauti, cha muhimu sio atolewe ccm wala apewe chadem, cha muhimu ni mfumo! ccm wao kwa upigaji ishakua ilani, chadema ndo hatuna uhakika kama wanaweza jenga mfumo ilihali inashikiliwa na mtu mmoja mwaka wa 20 sasa, huyu ndo tutapata mfumo mzuri kwake? ccm wanabadilisha kila miaka 10
 
Uzoefu unaonyesha mfumo huwa haubadiliswi haraka, hata Marekani wameshindwa kuibadili walichoweza ni kubadili será ndogo ndogo kutoka será kuu za Republican na kuwa za Democrats. Deep state ni ile ile . Kwa hiyo Chadema kubadilisha mfumo sio kitu rahisi hivyo.

Leo hii haitokuwa rahisi kumuondoa Magufuli madarakani kama Deep state wameshindwa kupata mbadala wa kumtithi .

Hata Trump Ana lalamikia Deep State ndio iliyo muondoa madarakani na sio raia wa América. Lakini kwa kuwa collectively Deep state waliamua hata mfumo wa kuhesabu kura walihakikisha Biden akashinda hata katika maeneo Democrats hawaja wahi kushinda tangu kuundwa kwa Taifa lá Marekani.

Trump anashanga kura wamepata wapi? Lakini ndio hivyo kura wamepata na hata angekwenda mahakamani angeshindwa tuu.

Hili ni swala lipo njee ya uwezo wetu, tunachoweza kufanya ni kuweka katika wish list zetu tuu.
 
Back
Top Bottom