Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao

Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao

Ni kweli ni makosa Mbowe kuendelea kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Na mimi ni mmoja kati ya watu wasioamini kiongozi yoyote kukaa madarakani zaidi ya miaka 10, na hilo la Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti huwa nalipinga waziwazi hapa jukwaani na popote pale niwapo. Lakini inaonekana kama umeishiwa na hoja kwa kusema Mbowe alisema atakuwa waziri Mkuu ndani ya saa 72, kile ni kipindi cha kampeni kila mtu lazima aongee anachoamini. Sasa kutumia maneno yale kama mashaka yako kwake ya kuhusu madaraka ni kama hujui usemalo, au unashindwa kuweka vizuri unachotaka kutuambia.

we ulishawahi ona wap nafasi ya waziri mkuu inatangazwa kwenye kampeni? hujashinda ata ubunge 😂 😂 😂 😂 , zaidi alikua anataka kutumia nguvu alionayo pale ufipa kuchukua hio nafasi na sio siri
 
Sio Mbowe, huo ndio ukweli.

sio makosa yako, nadhan ntaanzisha chama changu nachukua mavichaa wote wagombania nafasi ya uraisi mweshimiwa tindo amesema anyone can take that position
 
Watanzania hawapendi mtu kuongezewa muda lakini mkwara ukipigwa hutamuona hata mmoja akiandamana. Na watawala walishajua Watanzania ni waoga hivyo wanafanya chochote wanachokitaka. Reference uchaguzi mkuu 2020.
Ni kweli hata Rais akiongeza miaka kienyeji hakuna wa kumpiga live watapinga majumbani kimya kimya tu lakini kuandamana hawataweza
 
Ulijaza Fomu yako ya kujiunga na mfuko wako wa pensheni huku ukijua kwamba unaweka akiba yako ya uzeeni...iweje sasa unataka kufumua kibubu chako kabla ya miaka 55?
Alijaza kwa hiari au ni lazima
 
kuna nyumbu za kijani lazima zitashangilia hata kama jiwe akiongezewa miaka 10 mbele,, nchi hii ujinga uko damuni,
CCM wapo tayari mtukufu awe Rais wa milele kama China hata akitangaza kujiongezea mika 49 kienyeji bila idhini ya bunge CCM watakubali bila kupinga
 
sio makosa yako, nadhan ntaanzisha chama changu nachukua mavichaa wote wagombania nafasi ya uraisi mweshimiwa tindo amesema anyone can take that position

Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani atashindwa? Tena kwa katiba hii ambayo rais anaweza kuifuata na kuitekeleza apendavyo, na hakuna taasisi yoyote inayoweza kumfanya lolote?
 
Magu ataaibika na kutolewa kabla hata ya 2022.
Fafanua vizuri, Moshi wa Ruangwa unakuja tena? ama corona itabisha hodi chato, chamwino na kote anakokatiza? au Rais Baiden ana mipango yake kama ile ya kujipanga kumrejesha museven kijijini baadae aoezee jela kwa kesi nyingi , tufafanulie vizuri
 
Mkuu labda vizazi vitano kutoka sasa yaani kizazi cha watakozaliwa kuanzia 2050.
 
Mkuu labda vizazi vitano kutoka sasa yaani kizazi cha watakozaliwa kuanzia 2050.
Watanzania wa sasa kuandamana hawawezi hata Polisiccm iamue kuua vijiji 40 hawataweza kuandamana ni waoga mno, wao ni mabingwa wa kupinga mitandaoni tu
 
CCM walishajua udhaifu wa watanzania ndiyo maana huwafanyia chochote watakacho wanajua hawana cha kuwafanya, hata uchaguzi mkuu wameulawiti kuubaka kuunajisi hakuna aliyethubutu kuandamana, hata wakibadili katiba Rais awe wa milele na milele hakuna wa kuthubutu kuandamana hata mmoja
 
Katiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo. Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Kwa hiyo unataka akae kama Kagame na Museveni ndiy ufurahi, kwani Kikwete hakuna utamu wa madaraka au Mzee Mkapa akawaachia wengine
 
Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani atashindwa? Tena kwa katiba hii ambayo rais anaweza kuifuata na kuitekeleza apendavyo, na hakuna taasisi yoyote inayoweza kumfanya lolote?

ndo maaana hata mm mawazo yangu sku zote sio ccm wala chadema washike nchi, bali wananchi wajenge mifumo ya nchi, ccm ni binadamu tu alie kwenye vazi la kijani, chadema the same vazi la khaki wote ni binadam wmejificha tu kwenye mavazi
 
Eti alianza mkali,anakuja mpole,, faida yake nini Rais akibadilika.nikubadilisha ulaji.Tunataka Rais akilia madarakani mpaka azeeke. Vibaraka wa mabeberu wanasubiria JPM aondoke, ili waharibu miradi yetu.na kutorosha madini,na wanyamapori
 
Wewe hata hao wanyama uliopost hapo wanakuzidi akili
Kama ambavyo masanduku ya kura 2020 yalijaa kura za DR. John Joseph Pombe Magufuli ndvyo itakuwa tukiungana kuondoa ukomo wa mihula ya urais....tumechoka na "mzaoea ya AWAMU MOJA KUJENGA NA KISHA AWAMU NYINGINE KUBOMOA"

Shime watanzania wenye mapenzi mema tushirikiane kufunga na kuomba ili Mungu akampe nguvu JPM aongoze bila ukomo....hadi makuwadi wa akina Robert Amsterdam na wenzake wakate tamaa na kujitafutia njia halali za kulisha familia zao! SASA HIVI WAPO Hibernation!


View attachment 1694016
 
Acha tu waongeze muda, ili wajipambanue wanakotaka kutupeleka. Isitoshe wataiweka wazi zaidi CCM machoni mwa watanzania na mataifa, kwani ile CCM ya kinafiki itapotea na kuja CCM halisi.

Kiukweli hapo ndipo patakuwa mwanzo wa safari ya demokrasia ya kweli, kwani hata mataifa yatawaunga mkono wanaopambana kudai demokrasia ya kweli.
 
Back
Top Bottom